Duh kazi ipo.Hatimae umekubali kwamba Hio plan ilzalishwa kwa enzi za Mwalimu Nyerere
(Ninayemheshimu sana) Ila nini ikafanyika? Hamna. Kwa hivo mlifeli kuyatekeleza yale mipango yalivyokuwa yamewekwa. In fact, the actual official moving of the capital was in the late 90’s. Na kuanzia hapo hamna cha maana likichofanyika mpaka enzi za JPM.
Which is my point exactly! “Kusitisha”
Don’t be lazy in implementation of projects and expect us to respect and recognize them as achievements when you are eons behind schedule! Do not declare it a capital city if you are not able to implement it, and if you declare it, then build or else expect criticism.. your double standards are insane..
Read this again! View attachment 3188185
Hicho ni vile vichwa tunaita “kichwa mchunga” 😂😂Duh kazi ipo.
Bro wacha excuses, mbona waitetea sana serikali kama kwamba wewe ni mwanasiasa anaye benefit kwa serikali? That’s exactly why you guys don’t hold government to account. You guys are too chauvinisticHaikuwezekana kuendelea na mpango baada ya vita na Uganda(Oct.1978-June 1979) ambapo uchumi wa Tz uliporomoka sana. Elewa hilo na usijisahaulishe tafadhali (ingawa nina hakika ulikuwa bado hujazaliwa)😁😁
Hivi hawa jirani zetu tunaojibizana nao humu huwa hawapandi lile gari moshi lao?
Kwa hivo kunitusi ati mjinga ndio respectful 😂😂 Ile siku mtakuwa accountable for whatever is going on in your country ndio nitawaheshimu. Lakini kusifia serikali kila wasipotekeleza wajibu na majukumu na wakiwapa lawama mnaamini tu bila kubisha, hivo ndivo hela zako wewe zitaliwa bila huruma. Hio sio kupenda serikali, huku Kenya tunapinga serikali sio kwa chuki ila tunataka nchi yetu iendelee. Hio ndio patriotism ya ukweli. We don’t praise the government for doing what it should! Sio msaada, ni majukumu!Sasa hapo nn mbaya mkuu? Plan ilianzishwa na Mwl Nyerere, lkn kutokana na kutokuwa na uwezo Mwl akashindwa kutimiza ndoto zake, hatimaye moja kati ya watoto wake (JPM) ambaye alikuwa na mapenzi na usikikivu mkubwa kwa Baba yake akatimiza ndoto za babaake. FYI, mji ulianza kuhamishwa from 2017 and not in the late 90s as you claimed, Dom ukirudi nyuma from 2017 ulikuwa hauna hata hadhi ya kuitwa city let alone capital status. Siku hizi umekuwa mjinga sana tofauti na nilikvyokuwa nakujua kama moja ya wakenya smart, lkn najua kuwa mkenya ni mkenya tu habadiliki, ujinga wa kina Nicxie waliourithi kwa Kenyatta SR wamekuhamishia na wewe, by the way nimekujibu in respectful way kutokana na ku declare kwamba "unamuheshimu sana" my Idol (Julius K Nyerere).
How would I compare an operational airport to a project? Traffic capacity zita compare aje? Those are projections and not real data.I thought you were posting kisumu airport for comparison 😁
Wewe bado ni kijana mdogo na huelewi mambo mengi. Acha kujifanya mjuaji wa kila kitu😁Bro wacha excuses, mbona waitetea sana serikali kama kwamba wewe ni mwanasiasa anaye benefit kwa serikali? That’s exactly why you guys don’t hold government to account. You guys are too chauvinistic
Suala la kuhamisha capital city halikua wajibu wa serikali kwa wananchi, mbona unalazimisha.? Kwahiyo ulitaka tuandamane kulazimisha serikali ihamishe shughuli zake Dodoma.? 😂😂😂 uliona wapi wewe maandamano ya hivyo.? Au uliona wapi serikali ikiwa criticized kwa kutohamisha capital city.? 😂😂 huu ujuaji wako ni upumbavu mzeeKwa hivo kunitusi ati mjinga ndio respectful 😂😂 Ile siku mtakuwa accountable for whatever is going on in your country ndio nitawaheshimu. Lakini kusifia serikali kila wasipotekeleza wajibu na majukumu na wakiwapa lawama mnaamini tu bila kubisha, hivo ndivo hela zako wewe zitaliwa bila huruma. Hio sio kupenda serikali, huku Kenya tunapinga serikali sio kwa chuki ila tunataka nchi yetu iendelee. Hio ndio patriotism ya ukweli. We don’t praise the government for doing what it should! Sio msaada, ni majukumu!
Labda tumuulize Teargas 😁😁Hivi hawa jirani zetu tunaojibizana nao humu huwa hawapandi lile gari moshi lao?
Maanake halipandiki!
Huo unabii wa mwalimu umetimia Kenya 😁Wakati Mwl analiona hilo wao huenda walimuona atakufa masikini yaani viongozi wao wanajitengenezea mabomu wao wenyewe kwa kuiba mali za ummaView attachment 3188509
Wanakuambia wana demokrasia lkn ndiyo hiyo iliyowafikisha hapo walipo, kila mtu anataka kuwa raisi mpaka NairobiWalker na Nicxie wanataka kuwa maraisi. Hawatokuja kuendelea kamwe. Wataendelea kutusindikiza mpaka kizazi chao cha kumi.Yaani hata kama ni uhuru wa kujieleza umevuka mipaka huwezi kusimama unatukana mamkaka kijinga hivyo
Kuna mkenya mmoja huwa anasema haijai, ila hawa jamaa tumewachapa kweli kweli kwenye sgr mpaka siku hizi hawataki hii battle tena.
Ok, endeleeni kupinga serikali yenu, sisi tuna brt, modern airports, jnhpp, na the mighty electric sgr. Poleni wakenya.Kwa hivo kunitusi ati mjinga ndio respectful 😂😂 Ile siku mtakuwa accountable for whatever is going on in your country ndio nitawaheshimu. Lakini kusifia serikali kila wasipotekeleza wajibu na majukumu na wakiwapa lawama mnaamini tu bila kubisha, hivo ndivo hela zako wewe zitaliwa bila huruma. Hio sio kupenda serikali, huku Kenya tunapinga serikali sio kwa chuki ila tunataka nchi yetu iendelee. Hio ndio patriotism ya ukweli. We don’t praise the government for doing what it should! Sio msaada, ni majukumu!
Uwakumbushe leo ni J3 siku ya kaziKuna mkenya mmoja huwa anasema haijai, ila hawa jamaa tumewachapa kweli kweli kwenye sgr mpaka siku hizi hawataki hii battle tena.