Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watchman mbona unanitaja taja? Hujopokea mshahara ya December kutoka kwa mwarabu?
 
So unajifanya hukuiona render yake, au nikuwekee ulie vzr🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
So lami ilijengwa kwa render? Wewe ni kilaza sana. Mbona unajifariji wakati ni wazi lami hakuna hapo?
 
So, ulitaka na sisi tuwe wapumbavu kama nyinyi tujenge lami kabla ya majengo alafu tusubiri wasomali kutujengea? Tanzania sio Kenya wewe Watchman.
Kilaza katika ubora wake. Bongolala, good urban planning dictates that you build horizontal infrastructure first before going vertical. But how will a bongolala like you understand this when you live in a poorly planned glorified fishing villages called Dar is slum with huts thrown here and there in the most disorganized fashion?
 
Nitajie developed city yeyote iliyoanzwa kujengwa lami kabla ya majengo nikuoneshe mkenya msafi.
 
Yaani hata kama ni uhuru wa kujieleza umevuka mipaka huwezi kusimama unatukana mamkaka kijinga hivyo
kwani unafkiri hao viongozi wana adabu kwa wananchi wao πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hawatokuja kuendelea daima, tunazidi kuwaacha kila siku, wamebaki kutuongelea day in day out.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…