COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
Your musicians are never proud of your country..zero patriotism they try to copy Nigerians shoot movies in south Africa...etc..Kenyan musicians do Kenyan and are proud of kenyaWASANII WENGI WA KENYA HAWAJUI KUPENDEZA:
sote tunajua kwamba showbiz sio tu kuwa na kipaji cha kutunga, kuimba,kuigiza au kuchekesha bali pia ni namna gani msanii unaji-package katika muonekano mzuri.
mimi ni shabiki mkubwa wa miziki ya kenya,ila ninakwazwa na namna wasanii wa kenya wanavyojiweka kimuonekano.
ukweli wasanii wengi wa kenya hata wale ambao mimi nakubali kazi zao,hawajui kuvaa wakapendeza, wengi sio wasafi,pia hawajui ku-brand muonekano wao.
mfano mdogo ni hawa vijana watatu wa kikundi cha h_art the band.
hawajipendi,wapo rough sana na wachafu sana.
katika hili,wasanii wa tanzania wanastahili sifa,wengi wao wanajua kuji-keep up with popular trending fashion.
our artists are fashionable,they know how to brand their image with some nice and fredh outfits.
wasanii wa kenya wana jambo la kujifunza toka kwa wasanii wa tanzania.
ikumbukwe mashabiki wakubwa wa mziki duniani ni watoto wa kike.
kwa uvaaji wa hovyo na muonekano mbaya wa wasanii wa kenya,sishangai kwanini "mamanzi" wengi wa kenya hupagawishwa na wasanii wa bongo hususani kiba na diamond.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
makala hii imeandikwa na kadoda11 wa jamiiforum.
Your musicians are never proud of your country..zero patriotism they try to copy Nigerians shoot movies in south Africa...etc..Kenyan musicians do Kenyan and are proud of kenya
najua ni uchungu na hasira vumilia bro😀😀Tuliza buda utahema ukikimbizana na Mombasa.
google is ur friendThe same road Tena?
Hahaha take your time hapa read hizo comments za wakenya wanavyokubali Tanzanian musicians patriotism wakenya wamejaa tele wanataka adopting utanzaniaYour musicians are never proud of your country..zero patriotism they try to copy Nigerians shoot movies in south Africa...etc..Kenyan musicians do Kenyan and are proud of kenya
And yet they are doing well internationally,Your musicians are never proud of your country..zero patriotism they try to copy Nigerians shoot movies in south Africa...etc..Kenyan musicians do Kenyan and are proud of kenya
Shooting video in SA is very expensive my fren, Not affordable to Kenyan Musicians.wanaenda bafuni south Africa kushoot video........
hasira imekushika kijana😀😀😀😀😀Guys u need to see this mall [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi huyo aliemba hivyo ni mkenya kumbe me huwa nadhani ni mtanzania?And yet they are doing well internationally,
Now if we Talk of African Music we Talk of 1.Nigeria
2.Tanzania
Kenyan Musicians ni wachafu sana, weird outlooks and weird Music, wanataka wacopy Jamaica but they aren't good enough,
Ukiachana na yule jamaa ameimba
[emoji445] 'upo sawa na, wote malaika na mabawa yao, wote wanakuiga we ndo mama yao, ni wewe nachagua sisemi nao, sisemi, [emoji445]
Wengine siwajui aisee, even sauti Sol is dead sababu ya kukopi vitu za Marekani wakati uwezo mdogo
Kuwa yur exited[emoji23][emoji23][emoji23]Nimeona wanaendelea floor ya 36 , i am so happy
Not only shooting in South Africa and Nigeria, but also they shoot in USA, UK, Sweden, Jamaica etc. Tanzanian Music is international. Tunataka kuwafikia watu wote duniani wajifunze kiswahili. Language of unification(Kiswahili). Baada ya kuteka Africa, tunahamia ulaya na marekani na kisha asia. Hii ndiyo vision ya Tanzanian music.Your musicians are never proud of your country..zero patriotism they try to copy Nigerians shoot movies in south Africa...etc..Kenyan musicians do Kenyan and are proud of kenya
Busiest ports in Africa
Top 5 Busiest Ports in Africa for Imports and Exports – Berita Logistik dan Transportasi Indonesia
Top 5 Busiest Ports in Africa for Imports and Exports – Berita Logistik dan Transportasi Indonesia
Walisema 30 wamepanda mpaka 32
PPF HQ ishafika 36Hilo jengo tunalipatia lipi apo Nai? Au ndio wamesaishiwa?
Mwaka 2018 tutakua na nyumba ndefu zifuatazo nawakumbusha tu[emoji38][emoji38]
MNF towers 32flr each
MZIZIMA towers 35flr, 33flr
PPF TOWER 35flr, 14 flr, 9flr
Aya majengo ukiobserv yashapita PSPF kwa urufu, na wako flr ya 33 nadhanmajirani wakiendelea kutuonesha renders sisi tunaonesha uhalisia😀😀😀😀😀😀
View attachment 653786 View attachment 653788 View attachment 653790
.As for Tanzania, they need to avoid protectionist policies with regard to economic management and welcome all the investors (including Kenyans) with open arms.
.This is the surest way you can develop your country by taking advantage of smart minds from the outside.
.The economy must also be structured to be private driven rather than government led, that is a model for success of any country's economy.
Kipind tunafanya field tuliambiwa itakuwa tallest in DarPPF HQ nasikia ndiyo Tallest Building in Dar es salaam nadhani ni zaidi ya 40fl.