Eti hydropower station!! Wewe kweli kilaza! Hivi, wamaanisha Kenya hakuna hydropower station ama unamaanisha nini? Hivi bongolala, are you even aware that Kenya produces more electricity than Tanganyika and that more than half of it comes from hydropower?Mtu ana julius nyerere hydropower station,brt phase 2,3 na 4 zikiendelea kujengwa,bus terminals za maana,electric train,hivi vitu kundudwellers nzima mnaishia kuviona kwenye movies hapo kati yake na ww nani anajifariji?
Kuhusu umeme heb kaa kimya mzee epuka uongo mdogo mdogo. 😂😂😂 sahii you aint even in competition to us. Sahii sisi we looking foward kushindana na SA huko kuhusu uzalishaji wa umeme.Eti hydropower station!! Wewe kweli kilaza! Hivi, wamaanisha Kenya hakuna hydropower station ama unamaanisha nini? Hivi bongolala, are you even aware that Kenya produces more electricity than Tanganyika and that more than half of it comes from hydropower?
So siku hizi distance on maps is measured by naked eyes, not scale? Hivi, wewe ni Moja ya products za elimu ya Tanzania ama ulisoma kwingine?Hata kwa macho ya nyama tu, you can clearly see Kariakoo is almost two times the size of Nairobi cbd. 😂😂😂
Can you give me yours country's total energy generation figures we compare notes?Kuhusu umeme heb kaa kimya mzee epuka uongo mdogo mdogo. 😂😂😂 sahii you aint even in competition to us. Sahii sisi we looking foward kushindana na SA huko kuhusu uzalishaji wa umeme.
Leta data zako za kenya then mimi nikufunguo maskio.Can you give me yours country's total energy generation figures we compare notes?
Tatizo hawa nyang'au wanafikiria wako mbele ya Tz kwa kila kitu; ha ha ha😁Leta data zako za kenya then mimi nikufunguo maskio.
Westlands haina tofauti na masaki....japo ka westy ni kadogo ..labda combine Parklands, westlands na maeneo mengine kidogo.Westlands pekee ikona ghorofa nyingi kuliko hio CBD yenu. Huna hata aibu.
Wakenya ni washamba ambao hawajui kuwa ni washamba....ni wale watu wajuaji ambao hawapendi kujishusha na kujifunza. Ndo mambo mengi yao yanafeli.Huyo Willy Poul alitaka kuiga mchezo wa kiki hajui kuwa wasanii wa bongo wanajua huo mchezo zaidi yake; ha ha ha hawa nyang'au bure kabisa😁😎
Yaani just 30min. Jamaa analipwa $1m ??? Huyu Dogo ana pesa🙌Huyo Willy Poul alitaka kuiga mchezo wa kiki hajui kuwa wasanii wa bongo wanajua huo mchezo zaidi yake; ha ha ha hawa nyang'au bure kabisa😁😎
Umepatia😁Wakenya ni washamba ambao hawajui kuwa ni washamba....
Elimu yenu iko chini sana,so hata sikushangai,maku kusanyeni vidam vyenu kundustan nzima azifikii hata nusu ya megawatts za nyerere damEti hydropower station!! Wewe kweli kilaza! Hivi, wamaanisha Kenya hakuna hydropower station ama unamaanisha nini? Hivi bongolala, are you even aware that Kenya produces more electricity than Tanganyika and that more than half of it comes from hydropower?
Most of domolala (kunyan) hawajui kinachoendelea rufiji,tuwaache waendelee kupiga domo sie tunapiga hatua kimya kimyaKuhusu umeme heb kaa kimya mzee epuka uongo mdogo mdogo. 😂😂😂 sahii you aint even in competition to us. Sahii sisi we looking foward kushindana na SA huko kuhusu uzalishaji wa umeme.
Huwa nawaangalia wakenya wa humu wanavyoiongelea Dar nabaki kujiuliza ni Dar gn wanayoiongelea, mana tourists wanatoka kwao huko ulaya wakija hapa hawataki kuondoka. Kuna siku mama mmoja wa kitanzania anaishi England alikuwa anarudi UK na wanaye wawili, mmoja wa kiume mdogo mwengine wa kike(hawajawahi kuja bongo) sasa yule wa kike siku waliyokuwa wanarudi UK alimwambia mama yake atangulie yeye atakuja airport, aloo muda wa safari umefika yule mtoto anapigiwa simu na mama yake kagoma kuondoka, yupo na wenzie wapo coco beach, akamuambia mamaake wazi wazi kwamba aondoke tu yeye hajapanga kuondoka siku ile, yule mama alilia sn, but hakuwa na jinsi ilibidi aondoke aisee.Huyo NairobiWalker nilimwambie atembelee Dar...mimi najitolea kumhost... tena aje na yule Rafiki yake..
Maana anajiabisha bure hapa kurely kwenye google maps kucompare Dar and Nairobi.
Ni yeye anasema Kigamboni haina lami!!!
Nina uhakika atafunga ilo Domo lake.
Hii pesa ya Kenya mmeiongelea sana.
Hawa jamaa tumewazidi pakubwa sn, angalia kasehemu kao kaliko develop ni kadogo sn.hii ndio posta niliyokwambia ni kubwa mara mbili ya kariakoo NairobiWalker sasa sijui posta yako wew ni ipi .? 👇🏾View attachment 3182445
Kuna wakati ulikuwa unatuambia humu unafanya kazi Turkana na WFP. Kumbe ilikuwa uongo tu? Yani wewe mambo yako ya uongo uongo tu yote. 😂 😂
View: https://youtu.be/7dZ1rfrJR6s?si=23dC-t5pKN7KKQcn
MY TAKE
Kumbe Ukunyani kulikuwa hamna barabara ya lami kwenda South Sudan!