The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,538
Alivyofala anashangilia wao kushika namba moja kutazama nyimbo za watanzania hajui kama tumewageuza soko, ni kama mziki wa Congo enzi zile hapa bongo, tulikuwa tunaufuatilia kuliko wacongo wenyewe, kibao kimegeukia kwa wakunya vs bongofleva.Diamond (TZ)-tanasha (kunyaland),nani alimkojolea mwenzie hapa?