Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alafu kijana we have this
View attachment 3180098

Most them are articulated sijui hata mshawahi iona articulated bus hapo mjini.

Ukiona BRT unawaza bus kijana BRT ni system mambo ya kuwaza bus ndiyo yalifanya muwe na hivi
View attachment 3180099

Mmekopa hela zote kuchora hivyo

Tunaposema BRT tunamaanisha this, dedicated bus lanes zege tupu, enclosed stations, smart ticketing, and organized.

View attachment 3180102

When will you get this huko ukunyani? mzee wa flyover na electric bus za kuvizia?
We have diesel buses, nyinyi mko na electric buses?
 
Hiv nani aliwashauri waweke ile Insurance? Naamini mwakani mambo yatakuwa mabovu zaidi....ni turn off kwa watalii wengi.

Waimprove kwanza health infrastracture zao ndo waweke hizo Insurance... otherwise watu watu wataenda maldives, diani, nk
Kaka, sera tunayoenda nayo ni kutaka QUALITY tourism sio quantity......
Zanzibar wanataka watalii wanaoleta pesa nyingi ila sio bora pesa ndo maana unaona wanaweka vitu venye akili kama ile bima. Dola 49 imshinde mtu kweli?? Na kama ikimshinda basi mtalii huyo sio wa level ya Zanzibar atafute chaka jingine aende.

Ukiangali idadi ya watalii wanaoingia Zanzibar na pesa inayopatikana ni vitu viwili tofauti. Ila ukiangalia namba ya watalii Seychelles na Mauritius, na pesa wanayopata ndo utajua kwa nini na sisi tunataka kwenda huko.

It's all about Quality sio Quantity. Hiyo bima ni very fair kama mtu hana uwezo wa kulipia basi aende Mombasa.
 

Before you cast a stone, do some basic research first. Your airports were also built by the colonial white man
IMG_9310.jpeg
IMG_9311.jpeg
 
Before you cast a stone, do some basic research first. Your airports were also built by the colonial white man
View attachment 3180178View attachment 3180179
FYI the airport was located in Kurasini! And it is not what it is today! The Arusha airport is way different, from short gravel to extended bitumen runway n most modern PAX Terminal even the name is different!
 
FYI the airport was located in Kurasini! And it is not what it is today! The Arusha airport is way different, from short gravel to extended bitumen runway n most modern PAX Terminal even the name is different!
So you think all Kenyan airports are exactly how they were when they were first constructed??
 
👇 👇 👇 🤣 🤣 🤣 Mwenye njaa siyo mwenzio

View attachment 3180186
Old information
This is 2023 data. As an effect of Kenya’s worst drought in 40 years which was in 2022
I know Natural disasters hitting your “enemy” is the best thing that can happen to you but too bad Kenya recovered from that. Update your servers , find something new.
IMG_9315.jpeg
 
Back
Top Bottom