ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,940
- 89,153
ichoboy01 Kundustan waliodhani tutafanana ,aisee kilichozungumzwa ni Hybrid locomotives in case of emergency ππ
View: https://www.instagram.com/reel/DDkiSJvIOzD/?igsh=dnJ5cDVlaWNpZ28=
Ni wapi ulisoma au hata kusikia kwamba Bukhungu was earmarked to host CHAN? Mbona mpo desperate hivi mitanganyika?
Changamoto za umeme. π€£ π€£ π€£ Dieseli tunayo hatuna.ichoboy01 Kundustan waliodhani tutafanana ,aisee kilichozungumzwa ni Hybrid locomotives in case of emergency ππ
View: https://www.instagram.com/reel/DDkiSJvIOzD/?igsh=dnJ5cDVlaWNpZ28=
Kichaa huyo, ndiyo yale yale ya chest thumping kwamba mobile money imeanzia Kenya wakati watu wameanza hayo mambo tangu wakenya wanavaa magome ya miti.Hebu tuwekee namba za Kenya vs hio China,India etc
Wanawaza wizi tu wapige pesa kwenye mafuta, waache ujinga waimarishe mifumo na management, watu pia waende training za mara kwa mara, wakishindwa kabisa waajiri experts wakae japo miaka mitano kuwapa ujuzi wazawa.ichoboy01 Kundustan waliodhani tutafanana ,aisee kilichozungumzwa ni Hybrid locomotives in case of emergency ππ
View: https://www.instagram.com/reel/DDkiSJvIOzD/?igsh=dnJ5cDVlaWNpZ28=
Hata Ulaya wanatumia hizo Hybrid so kote huko wanaiba?Wanawaza wizi tu wapige pesa kwenye mafuta, waache ujinga waimarishe mifumo na management, watu pia waende training za mara kwa mara, wakishindwa kabisa waajiri experts wakae japo miaka mitano kuwapa ujuzi wazawa.
Still, nitajie mahali Bukhungu iliwekwa kama Moja ya viwanja vya mazoeziUnafikiri ukiwa na uwanja wa ku host match za tournament inatosha? Unahitaji viwanja vingine vya mazoezi kwa timu mbalimbali pia .
Sasa ni county governments (in this case kakamega county government) ndio waamuzi wa kudecide ni viwanja vipi vitatumika or is it the role of the government through sports ministry?Mbwa wee, sio kila mtu anaflash ubongo akiondoka humu.
https://nation.africa/kenya/sports/football/nyayo-bukhungu-to-host-chan-matches-in-september-4592356
CHAN 2024: Kakamega governor provides update on scope of renovation work at Bukhungu stadium
The Kakamega county government has explained what is being worked at Bukhungu Stadium and when the upgrade of the facility will end to be used for the 2024 CHAN tournament.www.pulsesports.co.ke
View: https://youtu.be/GmBzuV1_cAg?si=TugQrLZk4d5MJ3Tv
View: https://youtu.be/L9xmkw-0ts8?si=KCIfDGxvHBqFyZKf
Ebu tuonyeshe yako.22 kilometers from Masaki
Salasala
Wakundustan bado mnasema mna purchasing power kubwa kuliko watanzania? Meanwhile majority of Tanzanians are home owners while Kunyaland 95% of population is languishing in mabati and shoebox rentals
View: https://www.instagram.com/p/DDkOiy3NrU6/?igsh=cDdnYjFpazNvNmt1
Yet basic commodities in Tanzania are still expensive than they are in Kenya.The other day wakundustan across the nation walikua na filled day baada ya kusikia fake political propaganda kwamba vitu kwao ni cheap πππ
View: https://x.com/marto254_/status/1867997062597353747?t=ii5JkJjX6WiIP5i3ZsEGuw&s=19
Mbwa wee, sio kila mtu anaflash ubongo akiondoka humu.
https://nation.africa/kenya/sports/football/nyayo-bukhungu-to-host-chan-matches-in-september-4592356
CHAN 2024: Kakamega governor provides update on scope of renovation work at Bukhungu stadium
The Kakamega county government has explained what is being worked at Bukhungu Stadium and when the upgrade of the facility will end to be used for the 2024 CHAN tournament.www.pulsesports.co.ke
View: https://youtu.be/GmBzuV1_cAg?si=TugQrLZk4d5MJ3Tv
View: https://youtu.be/L9xmkw-0ts8?si=KCIfDGxvHBqFyZKf
Ofcoz jpm ndio muasisi kunzisha viwanda vya kuchenjua dhahabu, benki kuu iongeze bidii tuu kununua dhahabu kwa wingi maana bei ya dhahabu haijawahi kushuka na sasaivi dunia inaelekea kwenye bricks ndio mda mzurii wa kununua at a discount mbeleni uko itatubeba sanaaMawazo ya magufuli, mama akiendelea kupita na mawazo ya magufuli atatoboa sn, sema aongeze ukali, nchi hii wapigaji wengi.