Still quiet a big chunk comes from TanzaniaWe are in 2024 idiot.
Gazeti za Wakenya hizi!The project is already failed, what happened to elektrik SGara?πππ
View: https://x.com/TheCitizenTz/status/1867457741826273640
Sawa msomi wa kibera π€£π€£π€£Hakuna elimu yoyote uko nayo. At best you can be a Primary School dropout.
π€£π€£π€£
Foreign denominated debt inapungua kwa kasi sana.
so BBC pia waongo au ndio TRC wanajaribu kupunguza presha πππππ
Waiters and waitresses, chambermaids, butlers and hoteliers.You really dont know? Teachers,bankers,marketing/sales exec/officers in large,medium and small companies
aisee kweli magu hayupoHuyu kadogosa ni takataka.
πππππππ naona wamejaribu kupunguza presha ila hii deal inaonekana ipo na imesainiwakadogosa jamani dahhh....nginja nginja ya dizelii!
nahisi hii habari ipo ila wamefanya kama kupunguza presha tu, ila nina mashaka sanaAfadhali, hakika hiyo habari ilinifanya nijiskie vibaya sana .
hebu tuelezee ni hujuma gani za kisiasa?
Tanzania leads East Africa in financial inclusion remember that.Ebu post hiyo source tuione. They's no way you can have more mobile transactions than Kenya buana. Hiyo hata unajua. Hapa Kenya some of us the last time tulishika hard money ni more than 5 years ago. This is a cashless economy. In fact our mobile transactions are more than those of East Africa and Southern Africa combined.
Mimi nadhani Kadogosa atumbuliwe. Atafutwe mtu seriousπππππππ naona wamejaribu kupunguza presha ila hii deal inaonekana ipo na imesainiwa
Unaongea nikama ilipewa visa ya kuingia Tanzania. Munakuanga wajinga sana. π€£ π€£ π€£ Na kwani Tanzania haipo East Africa ama? Mwanaume mzima unalilia vitu vya kipuzi kama mtoto.kitu cha tanzania wanaitaja east africa ππ
mkenya hana tofaut na kondoo
View: https://x.com/ntvkenya/status/1867562688714276965?s=46
View attachment 3176055