Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi uko kwenu kuna Single man mwenye factory kama za mmiliki wa azam?
Ana customer wengi kuliko unavyodhan ,najua roho inakuuma sana lakini hakuna namna Meza propanol
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mimi sio mkenya, ni mTz nimetoa maoni yangu kutokana na mtazamo wangu binafsi.. [emoji8] [emoji8]
sasa wewe mommy mbona umetaja strength za Nai tu!! umeanza vzur ila ulivyo taja strength za Nai kibao ukadhihilisha how biased you are..

Strength za Dar ilibidi nazenyewe uzitaje nyingi kama wewe ni mtanzania kweli ungekua unazijua vizuri kuliko za Kenya. Mfano umesema RBT instead of BRT Mtu anae ishi Dar si rahisi kukosea hiyo kitu.

umeshindwaje kulitaja The fantastic Kigamboni bridge, Most modern and biggest Stadium, State of the Art Data center, modern and clean bus stands Nai hakuna any!! Super tall buildings, ultra modern hosp one of its kind - Mloganzila, biggest market in E.A- Kkoo, City with longest n clean beaches in E.A... e.t.c

so nime conclude wewe siyo Mtz na kama ni Mtz, u kno nothing about Dar, utakua unakaa mkoani, na kama una ishi Dar then i pity you.
 
Sio mbaya ulivoongezea na wewe... Ila hapo kwenye.
Basi weakness nyingine ya Nai ni kuwa hawana standa ya bus na daladala ya kueleweka
 
pole pole mkuu...hasira ya nn? akiandika RBT badala ya BRT inaweza kuwa ni makosa ya uandishi ina maana mtanzania yule hajui BRT ni nn? hii hasira tu
 

Uandishi wako tu unaonyesha wazi wewe ni Mkazi wa Kibera kule Wanakoishi wakimbizi Raia
Wakenya halisi,
wewe si Mtanzania
Hivyo ficha Upumbavu wako
 
hawa ndio wale wanaenda kuwa madikteta uchwara...mtu anataka watu wawe wanaiongelea nchi au jiji lao vizuri tu na hakuna anayefaa kuwapinga ama kuwa na maoni tofauti... mtu akiisifu nchi jirani anakuwa ni adui...why? where is democracy and freedom of expression?
 
mtanzania akiisifu Nairobi wanalia lia na kumwaga povu hapa kama watoto kwa hiyo, mtz hafai kuisifu nchi jirani kamwe ama atakuwa adui..sio? hizi ni fikra za kizamani aisee...
 
Ata mtu moja azam sijawai ona
Kenya juice zenu jaman zinasukari ziko conc sana ni yale yanahitaji knowledge of dilution reff chemistry in volumetric analysis,Wakat nasoma Moshi ndio zilikuepo kipindi bado mdogo nowadays zimekauka madukani azam and mo products zimetawala ...bidhaa za kenya nyingi zinakosa soko na tumeshazisahu
 
Kenya’s total exports to Tanzania in 2011 were valued at Kshs. 41.05 billion as compared to Kshs. 33.21 billion in 2010. The major exports to Tanzania in 2011 included Kshs. 3.07 billion worth of Palm oil and its fractions, Kshs 2.27 billion of Soap; Kshs. 1.82 billion of Medicament mixtures; Kshs 1.81 billion Animal or vegetable fats; Kshs 1.74 billion Flat rolled products of iron; Kshs. 1.37 Sugar confectionery; Kshs 1.35 billion Aluminium table and household articles; Kshs. 1.07 billion of Margarine.

Kenya’s imports from Tanzania were valued at Kshs. 15.58 billion in 2011 an increase from Kshs 10.55 billion in 2010. Major import products from Tanzania that dominated in 2011 included Furnishing articles, Paper and paperboard, Maize, Electric transformers, Textiles, Rice, Animal products, Tubes and pipes Flour and meals of oil seeds & Vegetables among others.
EPC Kenya
Tanzania becomes Kenya's largest East Africa market | TradeMark East Africa
 
And that is couple of yrs ago...
Would you plz bring the up to date report?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…