ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,458
- 89,880
Jana ilikuwa 2500 leo ishafika huko, sipati picha watu wanavyokimbiza hela zao kwenda kuchange kabla hali haijawa mbayaMikopo backed Kundustan dafu limeanza kuporomoka ππππ
View: https://x.com/BankOfTanzania/status/1866741759155507524?t=GiU2pKpifXDG71o4uwA0jw&s=19
Hawa nyang'au ni vichekeshoπHakikuanzia Lamu tena? kwa Hiyo Kiswahili kinasomeka kama ulivyoandika. Ujinga mwingine mzigo. Una ufahamu hata Lugha ilivyo?
Hakuna kulegeza ni kuwapiga na vitu vya ncha kali mwanzo mwisho mpaka waondoke humu wote waende kwenye platform zao jua kali ili tubaki pekeetu humu tupeane vitasa.Muwape hata faraja jamani watani zetu hamuoni wamenyongonyea, tuwape pumzi kidogo heheeee
Oh!! Utakufa maskini kijanaThose are not school buses, tafuta wajinga wenzako udanganye.
Maumivu reja reja yataendelea kukumalizaThose are not school buses, tafuta wajinga wenzako udanganye.
Pitia hapa utoe tongo tongoWatu wanalipa toll, have you ever paid any toll fee in your life?
Bado unabishana na sisi tu?Watu wanalipa toll, have you ever paid any toll fee in your life?
Tuone na wa kenya sasa
Watu wa kutumia miguu hawalipangi tolls.I pay everything even tolls, kwani kigamboni brigde tunapita bure?