Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

img_1_1733824610653.jpg


MY TAKE
Wacha jirani aendelee kujijaza ujinga ati yeye ni top artist! Wacha jaluo Omondi aendelee kuwajaza ujinga
 
inachekesha asee imagine anapewa mwingine na wewe ulishindwa kuqualify? so hauendi popote hahaha

Wakishindwa Host CHAN I don't know AFCON CAF kama watawazingatia kweli itakua blunder kubwa
Kumbuka afcon watakuwa kwenye uchaguzi na kama kawaida Yao hawajawahi tuliza mshono . Rwanda mjanja sana ,alivosikia tu kenya kapewa uandaji akaanza kujenga viwanja vyake fantastic akijua kabisa hizi mburusa zitachemka tu
 
Back
Top Bottom