TEMLO DA VINCA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 3,087
- 3,392
Utafute kwamba mpaka leo huna decoder ya dstv????duuu ukata mbayabut Dstv now has a WiFi router as part of its incentive to win back customers........kama azam haitachangamka itabidi nitafute tu Dstv.....
how much is the monthly charge for a premium package in tz? . in Kenya we pay 7k
kwanza decorder and dish ful set wanauza tanzania elf 79 ni kama 3200 ya kenya
.Yani currency yenu week sana
thanks bro azam tv wako sawa na walijipanga vyemaAlso, congrats to Azam TV...nimependa sana upeperushaji wao na pia jinsi wanavyoinyorosha Multichoice ya Afrika Kusini...itabidi tumeiinua ili DSTV na GOTV ziwe ujinga humu East Africa....I hate South Africa sio siri...
Week or weak???? Afu ndio mnajikuta mwajua kizungu kumbe utumbo tuYani currency yenu week sana
Hata mwekewe epl mna hela ya kulipa masikin nyie?? Et dstv ghali afu ni sh 3200 hahahahaaaaaNo problem... The day they get EPL rights is the day I'll respect them...
Week or weak???? Afu ndio mnajikuta mwajua kizungu kumbe utumbo tu
Mkenya wa kwanza kuwa na positive mind abt tz ..uko real sana mkuu i wish wakenya wote wangekua real ka wewe..gud boyAlso, congrats to Azam TV...nimependa sana upeperushaji wao na pia jinsi wanavyoinyorosha Multichoice ya Afrika Kusini...itabidi tumeiinua ili DSTV na GOTV ziwe ujinga humu East Africa....I hate South Africa sio siri...
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] duuuuuuhhh!!!!!! Mende tena!!!! Kumbe wewe ni mendewewe hata mende zetu huwezi lisha......nakupa pole zangu kwa uswazi kugumu .mola atakukumbuka mtapatapaji
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] duuuuuuhhh!!!!!! Mende tena!!!! Kumbe wewe ni mende
huo msemo niliupata wakati ule wa campaign za kisiasa hapo kenya.Sema Itakuwa Ndaaani ndaaaani ndaaaani saaana....The Nick Salat famous way.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Also, congrats to Azam TV...nimependa sana upeperushaji wao na pia jinsi wanavyoinyorosha Multichoice ya Afrika Kusini...itabidi tumeiinua ili DSTV na GOTV ziwe ujinga humu East Africa....I hate South Africa sio siri...
Huyo player labda asiwe anatakiwa na Team za Tanzania Mainland. League ya Bongo inaongoza kwa kulipa vizuri E.A ndyo maana mchezaji yoyote bora kutoka ligi yoyote E.A huwa akitaka malipo bora lazima aje Bongo.yeah... .They have a great team......sisi kama Gor tunaweza sign one of their players.........lakini okombe lazma ingelala tu Kenya.....
Bongo masikini kwenye takwimu tuu but uhalisia kenya hawatugusi hata chembe kwa kuwa na good lifeHuyo player labda asiwe anatakiwa na Team za Tanzania Mainland. League ya Bongo inaongoza kwa kulipa vizuri E.A ndyo maana mchezaji yoyote bora kutoka ligi yoyote E.A huwa akitaka malipo bora lazima aje Bongo.
Refer kwa Danny sserenkuma alikua top scorer wa Gor na best player wa KPL akaja Simba.
Imagine clubs uku zinatoa mpaka $100,000 ku sign player, hii sini budget ya mwaka mzima ya Gor [emoji1]
Haya mengine ni ya kuacha tu,maana ukimchunguza anayekucheka kukuzidi uchumi.Bongo masikini kwenye takwimu tuu but uhalisia kenya hawatugusi hata chembe kwa kuwa na good life
Daaah nimewrong ....qupte aisee mtz mwenzangu.....Bongo masikini kwenye takwimu tuu but uhalisia kenya hawatugusi hata chembe kwa kuwa na good life
haha... he went to Simba on a free transfer.... his highest career stint was while playing for Gor Mahia... the most successfull club in East & Central Africa. it only took him 5months at Simba to realise it was a shit club and leftHuyo player labda asiwe anatakiwa na Team za Tanzania Mainland. League ya Bongo inaongoza kwa kulipa vizuri E.A ndyo maana mchezaji yoyote bora kutoka ligi yoyote E.A huwa akitaka malipo bora lazima aje Bongo.
Refer kwa Danny sserenkuma alikua top scorer wa Gor na best player wa KPL akaja Simba.
Imagine clubs uku zinatoa mpaka $100,000 ku sign player, hii sini budget ya mwaka mzima ya Gor [emoji1]