Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ndugu chokoraa wewe unafaa kulipa karo kwangu nikufanyie tuition.........habari ya uswazi kugumu?
Nadhan baada ya collo kinachofuata ni mimi kukushow how naweza kulisha ukoo wenu....[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]


Kenyan poor people lyk u...huwa unanisikitisha tu
 
Nadhan baada ya collo kinachofuata ni mimi kukushow how naweza kulisha ukoo wenu....[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]


Kenyan poor people lyk u...huwa unanisikitisha tu



wewe hata mende zetu huwezi lisha......nakupa pole zangu kwa uswazi kugumu .mola atakukumbuka mtapatapaji
 
Zanzibar boys nimewapenda sana...walipiga mabao mawili chini ya dakika 5....walijituma kweli...nilihuzunishwa na mchezo wa harambee stars ulivyokuwa mbovu licha ya kuwa na kocha Paul Put...fainali ile ingekuwa Zanzibar tungepigwa sana...
 
Also, congrats to Azam TV...nimependa sana upeperushaji wao na pia jinsi wanavyoinyorosha Multichoice ya Afrika Kusini...itabidi tumeiinua ili DSTV na GOTV ziwe ujinga humu East Africa....I hate South Africa sio siri...
 
FYI azam tv signed a 3yrs contract with cecafa,so next season of cecafa tournament, azamtv itakuwa ndani ndani ndani....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

meza wembe.
Sema Itakuwa Ndaaani ndaaaani ndaaaani saaana....The Nick Salat famous way.
 
Kumbe uimara wa shilingi kama ya kenya ni urembo tu sio ishu.
# cosmetics tu sio! Hahaha.. Atakuja kama currency yao IPO juu.. Ukimletea scenario hiyo hiyo currency superiority inakuwa obsolete.. Anageuka.. Sio ishu! Mwanzo nimepata shida sana.. Sasa hv nimewazoea..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…