NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,305
- 19,662
instanbul atatafuta lane moja katikati mwa construction site yenye imechubuka kuprove Nairobi hamna barabara. Meanwhile 623 sq. km of Dar hamna barabara hata moja ya lami. Mitaa ya kifahari kama Mbezi ni 95% Vumbi. 😂 😂Slums aren’t left behind in road tarmacking.
View: https://x.com/SakajaJohnson/status/1864701908616700331
Unasema hamuwezi jenga magorofa halafu chini ni tope eeh? 😂 😂 😂Dar es salaam yenyewe inakula infrastructure za 1bn dollars as we speak ingekuwa majengo ya high rises tungejenga mangapi? Lakini kupanga ni kuchagua hatuwezi tukajenga magorofa marefu halafu hapo chini barabara ya tope kama huko kwenu 😁🤣🤣🤣
Wamekuja majuu.Nairobi imevamiwa na wasanii wa TZ
1. Chino Kid
2. Zuchu
3. Diamond
4. Rayvan
Nk.
Wakenya wanalalamika
View: https://youtu.be/qCD8-6QyCBA?si=cgM_FdMTZnaMEeao
Alafu 3/4 of Dar ni bahari with no single track of paved roads😂instanbul atatafuta lane moja katikati mwa construction site yenye imechubuka kuprove Nairobi hamna barabara. Meanwhile 623 sq. km of Dar hamna barabara hata moja ya lami. Mitaa ya kifahari kama Mbezi ni 95% Vumbi. 😂 😂
View attachment 3171240
Hata huyo Samia walimjua kwa kuwa mwanamke na marais wanawake ni nadra kupatikana Afrika. Otherwise akiwa naibu wa Rais hakuna aliyemjua.The only known leader known by at most 0.5% of Kenyans I think is their President. Kwao wanajua all the spouses of Kenyan governors🤣🤣😂
Hao wanajua karibu kila politician in Kenya hadi those that vied and failed😂😂Hata huyo Samia walimjua kwa kuwa mwanamke na marais wanawake ni nadra kupatikana Afrika. Otherwise akiwa naibu wa Rais hakuna aliyemjua.
Hapo vipi mkuu.? 👇🏾instanbul atatafuta lane moja katikati mwa construction site yenye imechubuka kuprove Nairobi hamna barabara. Meanwhile 623 sq. km of Dar hamna barabara hata moja ya lami. Mitaa ya kifahari kama Mbezi ni 95% Vumbi. 😂 😂
View attachment 3171240
Kwa nini nikuchekeshe bwashee😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
unashtuka tena ???? hua unanichekesha sana
Samia Infrastructure Bond ni ubunifu na maono ya mama usiutaje hapa kwenye Mkopo wa misitu.Unajifanya kushtuka nini?
Si baadae utakuja chomeka mradi wa TARURA from Infrastructure Bond useme ni mkopo huo unafanya kazi.
Sh300bn nchi haina kweli?
Acha kuwadanganya wenzio kama kipindi kile 😂😂Huyu hapa The Sunk Cost Fallacy 2
Yuko likizo Mkuu saizi mwisho wa mwakaChoiceVariable alienda wapi?