hakuna cha fair mzee wakenya tabia zao ni zile zile sema tu kwa sasa dunia imewabadilikia ndio wameamua kua wapole ila mkenya ni binaadamu wa kwanza asietaka kuona tanzania ikiwapita kwa chochote πππππIla Ruto yupo fair aisee hii maneno kama ingekuwa kipindi cha Uhuru sahau! Refer how Bakhresa was treated when trying to establish a milling plant in Mombasa!
Kwa Tanzania labda Estim group Tena iungane na kampuni nyingine! Huyu Rostam alikuwa na kampuni inaitwa Caspian ilikuwa inajishungulisha na engineering works migodini sijui kama bado ipo!nafuu gani kaka kapewa mwanza airport mkataba sijui wa miezi sita sasa hvi mwaka unaisha na mwaka wapili utaisha hajamaliza, hatukatai wapewe wazawa lakini sio project kubwa zinazohitaji technology kubwa
alaf ajabu haijawah tengeza faida even a single cent zaidi ya kula hasara na kuchoma pesa za tax payers ππππ
bado ipo ana hio caspian na casco, nashangaa kuona caspian inapewa airport ya mwanza, lakini kwa awamu hii sitoshangaa sanaKwa Tanzania labda Estim group Tena iungane na kampuni nyingine! Huyu Rostam alikuwa na kampuni inaitwa Caspian ilikuwa inajishungulisha na engineering works migodini sijui kama bado ipo!
Kwa Tanzania labda Estim group Tena iungane na kampuni nyingine! Huyu Rostam alikuwa na kampuni inaitwa Caspian ilikuwa inajishungulisha na engineering works migodini sijui kama bado ipo!
Aawapii wapi jengo la abiria?
Sasa onyesha likiwa na air control tower!
Kivipi na Air control tower is on the other side of the airport. Tumia Google maps kama unaogopa kufikiriaSasa onyesha likiwa na air control tower!
UnajitutumuaMombasa City skyline.
Bongoslum skyline kama hii iko dar is a slum pekee.
Picha za uzinduzi as usual nyang'au taabu.Sasa onyesha likiwa na air control tower!
Angalo lilivyo idle!
On the other hand..
Vibrant Arusha airport
View: https://x.com/daktarimtalii/status/1852640828293857747
From Mombasa! πππβπΏβπΏβπΏ
Wacha ujinga AIR CONTROL TOWER haikai hivyo!Kivipi na Air control tower is on the other side of the airport. Tumia Google maps kama unaogopa kufikiria
View attachment 3170448