Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ba
Huu upuuzi wa US umechelewa sana saahii construction of facilities is in full swing! Hata kule Lobito corridor Mchina is in control within DRC n TAZARA is to be revived! Pata picha kama mradi wa Bagamoyo port ungekuwa unaendelea!
Bagamoyo Port nilikuwa namlaumu magufuli Kwa kuupiga chini lakini Hadi mama alipoingia madarakani alipojaribu kuurejesha uozo alokutana nao Hana hata hamu
 
sasa wanafanya nn EA common market?
 
Sasa rasmi tunakamata soko lao la construction 😁
 
Ila Ruto yupo fair aisee hii maneno kama ingekuwa kipindi cha Uhuru sahau! Refer how Bakhresa was treated when trying to establish a milling plant in Mombasa!
Sio kwamba yuko fair mkuu bali FDI zimekauka huko dollar hamna madeni luluki economy in the doldrums moja haikai mbili haikai wanalazimika kukubaliana na mziki wa Tz angalau wapate chochote kitu.
 
Politicians take you guys for a ride cause they know that you are all blinded by that ukabila shit hamchomoki hii pekee ni assurance ya kura kwao.
 
Halafu kuna Barabara za pavements nyingi sana Kwenye mitaa ya Nairobi, Mombasa etc.
Aisee aliyewajengea hizo Barabara aliwaibia ni muongo na aliwaibia...yaani kuliko kujenga Barabara za namna hiyo bora muache ibaki na vumbi tu huku mkijipanga kujenga Barabara za maana kama zilizojengwa Makumbusho, Tandale, kijichi, mwananyamala nk...
Sijui kenya walikuwa wanarush wap...au walikuwa wananataka sifa kuwa wa Barabara nyingi za lami online?

Ona sasa hii Barabara lazima ifumuliwe upya kabisa...haiwezi fanyiwa hata repair
Kilimani Nairobi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…