Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jamani wacheni angalau wapumue sio poa kwa vitasa hivi


Wewe NairobiWalker ulikua ukibeza kwamba uwanja haujengwi na juzi uliuulizia, vipi haujaona hizi post leo.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Watu washafikisha 3rd floor nyinyi bado mnapigia kelele foundation. Kweli mtanzania atabaki kuwa mjingaπŸ˜‚πŸ˜‚
Naskia hamuandai CHAN 2024, andaa viti vya Bar upya for Kasarani 🀣🀣🀣🀣

December 31 ni keshokutwa tu. Viti vya baa vinaweza saidia kujazwa fasta.

Yaani mwaka mzima mmetoa macho tu November ndio mnajifanya kukarabati NYAYO STADIUM πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Endelea kusikia. We will hold CHAN mpende msipende.
 
Miradi ya mabilioni kama hii haiangalii figisu bali feasibility! Ni kosa kufikiria Magufuli alibadili maamuzi ya wapi bomba lijengwe!
 
Murkomen haja wahi kufanya kitu tangible...

Mbona kapigwa ban ya kuingia kwa kina Trump?
Mnajua hadi Murkomen, waziri wetu wa michezo huko Mimi hapa hata ukiniuliza jina ya makamu wenu wa Rais sitapata jibu
 
Wewe si ndio uliesema kwamba uwanja wa Arusha umeishia kwene kupima udongo.? Aren’t you.? πŸ˜‚πŸ˜‚ sahii unapewa risiti zako, unageuza maneno. Jinga kweli.
Kwani ni uongo ati bado iko kwa foundation? To make it worse it’s a mini stadium.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…