Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Vichaka vyote vinafyekwa pa kijificha saiv hana inabidi asalimu amri tu hakuna jingine jipya kijografia sisi ndiyo tuna majirani wengi wanaotuzunguka na wanatutegemea kwa kila kitu tulikuwa tunawambia ni swala la mda tu na mda wenyewe ndio huu kwa hiyo wajiandae kisaikolojia
Tanzania has overtaken Kenya in Goods and Services trade.
President Ruto admits. Nimefurahi vile Wakenya wametokwa na mapovu kwenye comments 😀 . As I said , vichaka vyote walivyokuwa wanajificha vinafyekwa one by one. Hakuna kichaka kitabaki kimesimama 😀😀😀

View: https://x.com/citizentvkenya/status/1862550485955137588?s=46&t=13nU45_Q7ipNzgLj4QuH9A
 
Nyang'au Teargas lazima atakuwa anajisikia vibaya baada ya kumsikiliza kaka yake anakubali wazi wazi.
 
Wapi Kisumu? 😆😆

Mwanza 🔥🔥
Screenshot_20241130-093018 (1).png

Screenshot_20241130-092835.png
 
Back
Top Bottom