Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


🤣🤣
Eti tuungane na ICC convicted goon, eti tuungane na NATO Allie, eti tuungane na genocide supporters ( they support what's happening in Gaza)

Eti tuungane na open air back stabber, he back stabbed UHURU and lately GACHAGUA.


Eti tuungane na nchi ambayo nusu ya wasichana wao wako ONLYFANS, eti tuungane na nchi ambayo ikitaka kucheza mechi za kimataifa inaenda nchi jurani.

Eti tuungane na nchi ambayo imejaa vichaa, on what those thugs did to the retired Deputy president.

Tuungani na nchi ambayo tunawapa chakula kwa bei nafuu,kwa moyo safi ila wao wanatucheka na kutuita wajinga, eti hatujui thamani yetu!! Eti wanatutumikisha watakavyo.


Sahauni nyang'au nyie !!!!
 
Tanzania has overtaken Kenya in Goods and Services trade.
President Ruto admits. Nimefurahi vile Wakenya wametokwa na mapovu kwenye comments 😀 . As I said , vichaka vyote walivyokuwa wanajificha vinafyekwa one by one. Hakuna kichaka kitabaki kimesimama 😀😀😀

View: https://x.com/citizentvkenya/status/1862550485955137588?s=46&t=13nU45_Q7ipNzgLj4QuH9A

Yani hayo ni maneno kutoka ikulu kwao na bado watabisha, ngoja chuchunge aje na takwimu zake za kutoka gikomba, hakuna battle hapa.
 
Yani hayo ni maneno kutoka ikulu kwao na bado watabisha, ngoja chuchunge aje na takwimu zake za kutoka gikomba, hakuna battle hapa.
Hapo bado kuna zile takwimu zao za internet connectivity ,
Kuna mmoja humu anakujaga na takwimu uchwara za Electricity Acessibility sijui, Vitakwimu wanajitengenezea kujifariji.
Kichaka baada ya kichaka 😀😀😀
 
Hapo bado kuna zile takwimu zao za internet connectivity ,
Kuna mmoja humu anakujaga na takwimu uchwara za Electricity Acessibility sijui, Vitakwimu wanajitengenezea kujifariji.
Kichaka baada ya kichaka 😀😀😀
Baada ya kumsikia president wao akitii now wote wamekimbia, wanaugulia maumivu, inauma sn mana tumewapiga kotekote na tena sio kwa maneno bali takwimu wanazotaka wao, sio uchumi, sio football (club level, national level, international level) kuanzia soka la vijana, wanaume mpaka soka la wanawake tumewapiga, ukija kwenye utalii ndiyo kabisa, wamebaki na mambio ya mita 50,000 mchezo wa kimaskini, unakimbia weeeeee unapewa $1000🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom