Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkumbushe kuhusu Coalition of Willing (COW).
 
Kwani hata Sasa ukijenga Sgr through Bukoba ndio Uganda wasingejenga ya kwao ku connect na Kenya?

Kama mnashindana kujenga Sgr kwenda Uganda via Bukoba ndio ingezuia Kampala-Malaba-Nairobi-Mombasa pasiwe pafupi?

Huna hoja ,naungana na aliyesema lengo la Sgr NJ Burundi na DRC vinginevyo rudini kwenye hoja yangu ya Sgr ya mapambo 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Tunajenga meli kubwa za mizigo lake Victoria na Tanganyika in under 24 hours mizigo iko Port bell Uganda.
shida sio kujenga shida ni tutaweza kuzisimamia na tukawajibika ipasvyo ili kuleta ushindani wa kweli???

jana nilikua tanga naangalia fainali ya shimuta nje ya uwanja nikaona V8 ya serekali kuna mtu kalala ndani ya gari anakula AC zaidi ya lisaa na nusu gari inaunguruma inakunywa wese tu, nikajiuliza maswali mengi sana
 
Hakuna aliyeforce na kuingilia deal la bomba la mafuta mwenye mradi TOTAL ndio kaamua lipite Tanzania kwasababu muda wa utekelezaji ungekuwa mfupi na gharama nafuu pamoja na security ya mradi wao.
usiseme hakuna alieforce wakat tulikua tunatuma ujumbe mara kwa mara kwenda uganda kufanya maridhiano na kutumia ushawishi wa kutumia tanzania na mmoja wa ujumbe hao alikuwepo prof kabudi, na last time niliona mseven amekaa na wajumbe kutoka tanzania na kenya ili kujadili wapi litapita leo tunaongea vitu gani jamaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unasema washamba? Wakati Nairobi watu wanaiba taa za barabarani, traffic lights na battery zake.... Nairobi ni barabara chache sana traffic lights zinafanya kazi....ziliibwa na kuharibiwa mpaka wanaweka traffic police siku hiz...
Ebu tutajie hizo barabara chache zenye traffic lights zinafanya kazi.

Huwa unajifanya unajua Nairobi na hakuna unachojua hata moja, last time you said you have stayed in Nairobi nikakuuliza wapi specifically ukashindwa kujibu. Leo hii nataka ututajie hizo barabara chache zenye traffic lights. Then at night I’ll do a night drive in one of the roads zenye hujataja tujue nani muongo.
 
ndio hichi nachozungumza hapa muda wote kwa sasa hakuna uwajibikaji wala ushawishi hata waziri mkuu wa nchi hii humsikii makamu humsikii kabisa.

ikiwa tunapeleka reli mwanza kwa ajili ya uganda alaf leo uganda anajenga kwenda malaba kuunganisha na kenya unafkiri tutaweza kushindana na mombasa to malaba ambayo kwao ni simu moja na nusu treni iko kampala kwetu itachukua 3 days na ukiweka na mambo ya kutowajibika hata siku 5 itachukua

wakat mwengine tukubali ukweli sio kila kitu kusifia tu all the time wakat mambo yanaharibika
 
Mkono wa chuma unahitajika hapa.

Hata Katarama kupigwa mawe kuna watu wanachekelea.

Bongo tuna kawaida ya kuchukulia vitu poa sababu hatupati consequences ya actions zetu. Ifike mda kila mtu awe analipwa na ujinga wake au wema wake.
nikisema hapa naonekana mamluki haya mambo ni aibu inasikitisha sana hakuna mtu anawajibika wala kuwajibishwa.

tumerudi kwenye mambo yale yale mtoto wa mjomba na shangazi
 
Majority of DRC minerals ziko huko sides za Uganda and that’s where railway is heading, nyinyi itabidi mbaki tu na Burundi juu sioni mkifaulu kufika to the core of DRC minerals.
wewe nae chizi majority ya DRC minerals yanapita through zambia border inaitwa kasumbalesa kama kitu hujui uliza uelimishwe kunguni wewe πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mzee Uganda kwetu ni aditional tu. Target ya Tanzania is DRC and Burundi. Uganda haina madini ya kubeba mdogo wangu. Nendeni mkabebe Ndizi na Lubisi toka Uganda. 🀣🀣🀣🀣
Chaa ajabu bomba linapita tz
 
kwani bomba la mafuta kupita tanzania je haikuondoa urefu wa kupita lamu kua mfupi zaidi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

shida yako ww hua unakurupuka sana sasa hvi kuna vita baridi ya kiuchumi kati ya tanzania na kenya kama huna watu wakuwajibika na kufatilia kuna mambo mengi utayasikia kwa jirani
 
Unasema washamba? Wakati Nairobi watu wanaiba taa za barabarani, traffic lights na battery zake.... Nairobi ni barabara chache sana traffic lights zinafanya kazi....ziliibwa na kuharibiwa mpaka wanaweka traffic police siku hiz...
Kutupia gari mawe ni ushamba. Kung'oa traffic lights ni wizi (ambao upo hata hapo Vumbistan).
 
mzigo wa Uganda ni wa kugawana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…