Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna aliyeforce na kuingilia deal la bomba la mafuta mwenye mradi TOTAL ndio kaamua lipite Tanzania kwasababu muda wa utekelezaji ungekuwa mfupi na gharama nafuu pamoja na security ya mradi wao.
 
hili ni pigo kaka hata tukisema tufiche, siku zote tulikua tunafukuzia huu mradi wa uganda tena tumetumia nguvu kuuchelewesha kwa fitna leo umetuponyoka kirahisi,

anyway tuendelee kusifia tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ni sawa mzee ila logic and rational yako ipo kama ChoiceVariable.

Hatuwezi jua mpaka Uganda afikie huko huenda upo sahihi. Ila mzee uwasilishaji wako wa mada these days ni kama sio wewe yule tuliyemzoea.

Ni kweli inafikirisha Uganda kwenda Kenya na reli yake ya Electric akaacha ya Tz ambayo Mwanza tayari inajengwa.

Let's see.
 
That's it afadhali ungeanza na uwasilishaji huu.
 
Majority of DRC minerals ziko huko sides za Uganda and that’s where railway is heading, nyinyi itabidi mbaki tu na Burundi juu sioni mkifaulu kufika to the core of DRC minerals.
Wakumbuke their whole boundary with DRC. Is occupied by lake Tanganyika - the second deepest lake in the world.🀣
 
According to your empty brain hakuna Barabara Kenya?🀣🀣
Uchungu usikufanye ukose akili.πŸ˜‚
 
Mkono wa chuma unahitajika hapa.

Hata Katarama kupigwa mawe kuna watu wanachekelea.

Bongo tuna kawaida ya kuchukulia vitu poa sababu hatupati consequences ya actions zetu. Ifike mda kila mtu awe analipwa na ujinga wake au wema wake.
Bongo washamba.
 
Bongo washamba.
I don't think so mzee. Mpaka mtu ushike jiwe kupiga kitu kama reli si mchezo na unajua kabisa ni mali ya serikali. Bila kujazwa upepo si rahisi.

Kingine ni muda sasa watu wamerelax sana yaani tukio mpaka yawe makubwa ndio wanashtuka.

Mbona kipindi cha Magufuli ukisikia tren imekwama Waziri, Mkuu wa TRC, hatunae.

Sembuse upige jiwe RPC si atakosa usingizi wiki.

Walianza Daraja la TANZANITE kunyofoa vyuma like seriously.

Ndio maana nasema it's time wazee wapewe consequences za action zao mpaka akili ikae haijalishi ni nani.

Katarama angalia polo zake zinavyopigwa mawe, kuna wengi wenye polo ila ni yeye tu apigwe mawe.
 
Kapata demu wa kinyangau anasimamiwa akiwa anafanya typing 🀣🀣🀣
Ametembea Kenya a couple of times akaona uhalisia wa vitu. Nyinyi ambao bado hamjatembea ndio mnaendelea kupiga kelele eti ooh njaa, sijui ukabila sijui nini.
 
Hakuna mtu mwenye akili atajenga nyumba ya mlango mmojo, wakati Mombasa ni jirani zaidi wanapitisha mizigo yao mingine Dar wanajua athari za kutegemea njia moja isiyokuwa yao.
hvi unategemea mombasa to uganda kwa SGR cost yake itakua sawa na kutoa mzigo dar upeleke mwanza upakue ueke kwenye meli iende port bell tena ibebwe kwenye treni iende kampala

tusijidanganye hata kidogo tumeshindwa vita tukubali, kitu mm nashangaa kama tulijua mombasa ni karibu sana kwann tulikua tunashindana kujenga SGR through bukoba na kutumia njia mwanza to port bell, sijui tulikua tunashindania nn sasa au kwa sasa hakuna ufatiliaji??
 
kaka tulichoshinda sisi ni kupunguza kodi na kununua hisa ya 15% na bahar nzuri huku ardhi ni mali ya serekali ndio maana hata mradi ukashuka cost yake lakini ukienda head to head walipaswa kushinda ila sisi tulitumia fitna na ushawishi ambacho ni kitu kizuri sana tulifanya

kwa sasa tusikatae hatukua kwenye ushindani wa kulazmisha uganda kutumia SGR yetu tusikatae kabisa, tumeshindwa kwasababu kwa sasa hakuna ufatiliaji wala ushawishi wowote
 
bro haya maneno unayatoa wapi??πŸ˜‚

uganda isingekua priority yetu tusingekua na option mbili ya kufika kwake, hata DRC tunayoiwaza sisi ni hio ipite burundi au rwanda, sometimes tukubali kua hakuna ufatiliaji wala ushawishi kwa sasa ila tuendelee kusifia tu
 
Mafuta gani tena wakati Uganga atakuwa na mafuta yake by 2026.
uganda atazalisha crude oil ambayo itasafirishwa through tanga kwenda kwneye mataifa mengine na hayo mafuta ni ya ubia sia yake pekeake bro

hakuna oil refinery africa hii nje ya nigeria, misri, algeria, morocco, tunisia etc na wao still mauzo yao yanategemea kuuza europe na asia
 
Au siyo? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Option 2 ziko wapi? Wazee wa Sgr za mchongo mnaparurana πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…