Utalia mpaka lini? Only 3,000km of pqved roads ndio zimebaki Nairobi ifikie Tanzania nzima.Wakenya ni watu waongo waongo sana.
Sijui wanafaidika nini na uongo uongo.
Imagine mtu anasema ana paved Road network ya 22k km na Nairobi kimji Chenye 696 Sqkm kina km 7000. From Johannesburg mpaka Egypt ni km 8388...ila Nairobi pekee in km 7000...aloo! Kenyans
watchman tangu lini ukajua mambo ya Barabara?Barabara za kuhesabu, macho yangu yanaona tano🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kindiki je?Kiaje? Ulitaka Ruto aende while alikuwa anadress the nation from Parliament? Wewe siju hizi uzee unapotea na akili zako.
Do you understand the word National Address?Kindiki je?
Halafu kumbuka half of that 696 sq km ni Nairobi Nationalpark! The remaining half ina slums zisipungua 10 zisizo na amenities za maji wala umeme! Hiyo Thika Highway the longest haizidi 50 km.Wakenya ni watu waongo waongo sana.
Sijui wanafaidika nini na uongo uongo.
Imagine mtu anasema ana paved Road network ya 22k km na Nairobi kimji Chenye 696 Sqkm kina km 7000. From Johannesburg mpaka Egypt ni km 8388...ila Nairobi pekee in km 7000...aloo! Kenyans
Peleka uzee wako mbali.Halafu kumbuka half of that 696 sq km ni Nairobi Nationalpark! The remaining half ina slums zisipungua 10 zisizo na amenities za maji wala umeme! Hiyo Thika Highway the longest haizidi 50 km.
Teargas Uende udanganye mamako!
Say a used Kenyan Military chopper!
Yet Tanzania only have 5 military helicopters against Kenya’s 150 helicopters.Say a used Kenyan Military chopper!
Mjipange kulipa fidia ya kuvunja mkataba, kwa AdaniMandamano paid off.
Adani deal is off, shauri ya watanzania wenye walishawauzia port kitambo😂😂😂
View attachment 3157913