Nimeiangalia Mkuu hadi kwenye comments ni sifa tu zinamwagwa 🔥Kuna mzungu hapa katembelea karibia Airport zote za Africa including JKIA.
Kasema JNIA is the best of all...other Airports look like old bus Terminals.
Tazama hii video kule kwenye conclusions
View: https://youtu.be/k9CHohKQGF4?si=nuhTMddZAlcFmYsa
Mnapigia kelele na mbaenda kutoka huko bila ushindi wowote😂😂Timu zetu zote 4 zinaenda AFCON 2025 jirani aka paper footballing nation umepeleka timu ngapi?
Wewe bro, uliishi wapi Nairobi, mbona hilo swali nyepesi unashindwa kujibu😂😂.Kuna mzungu hapa katembelea karibia Airport zote za Africa including JKIA.
Kasema JNIA is the best of all...other Airports look like old bus Terminals.
Tazama hii video kule kwenye conclusions
View: https://youtu.be/k9CHohKQGF4?si=nuhTMddZAlcFmYsa
The reason Kenyans take Tanzanians jabs lightly is because we know they won't win any game at AFCON😂😂I like how Kenyans are taking your jabs lightly in the comments. Ingekuwa the other way round ingekuwa disaster. Mngeidiscuss Hadi kwa parliament. Kila Mtanzania angekuwa Analia vile Kenyans are evil people. I hope you'll maintain the same civility tukianza banter zetu.
Did you even understood what NairobiWalker said? Mbona unakuanga primitive hivi lakini?Eti Lightly, uko na illusion ya ajabu. Mna nini cha maana Hapa EA?
🤣 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇 👇Did you even understood what NairobiWalker said? Mbona unakuanga primitive hivi lakini?
🤣 🤣 🤣 🤣The reason Kenyans take Tanzanians jabs lightly is because we know they won't win any game at AFCON😂😂
G20 Agreed that Kenya is deadThe reason Kenyans take Tanzanians jabs lightly is because we know they won't win any game at AFCON😂😂
Huyo achana naye anakupoteza maboya ili baadaye akamilishe uchawa wake kwamba kila maendeleo ya Tanzania ni Samia, unavyo mclash mwenzio ndiyo anafurahi anapata credibility ya kuongopea watu, kwani ni raisi gani ukiacha Nyerere aliyerudisha heshima ya mpira nchi hii zaidi ya magufuli? Chini ya magu Tanzania ilifuzu kwa mara ya kwanza afcon tangu mwaka 80. Aache ujinga.wahanga wanasubiri michango kutoka kwa watanzania 😂😂😂😂🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻 wengine wanapndishwa kwenye kirikuu haya ndio maendeleo tunayojisifu nayo, labda nikuulize kwann michango ichangishwe kwa watanzania kama serekali inaweza kutoa??? kwann watu kuingia uwanjani bure michango haijaletwa kwa wananchi, au ndio tunajifichia kwenye mpira na AFCON ionekane nothing happened
sijawahi kuona aiseeee
Kundustan mnaishi kwenye ulimwengu wa kwenye ndoto. Tanzania tunaishi maisha real. Check vibe hapa:Did you even understood what NairobiWalker said? Mbona unakuanga primitive hivi lakini?
Kweli kabisa kaka, huyo wenzie tulishampuuza, kwasababu hana jipya yeye hayupo kwa ajili ya maendeleo ya Tanzania bali yupo kwa ajili ya kampeni, sasa mtu kama huyo hana nafasi humu cz majukwaa ya siasa yapo kule sio humu, ampige ignore aendelee na mambo yake.Niko sure ukimuweka ignore list hizi unnecessary comments zitapungua humu.
Kwani Kuna account ya michango ya Taifa Stars?mbona taifa stars sijatoa mchango sasa?
kwann tusitoe na taifa stars ??😂😂😂😂
au ng'ombe wa maskini hazai 😁😁😁
Hata wasipochoma talanta haina mana coz afcon haitofanyika Kenya, nchi gani itaruhusu watu wake waende kwenye nchi ya kimavi kama Kenya, vurugu mtindo mmoja, mazingira hovyo, very risk kupeleka michuano Kenya, caf hawatofanya hilo kosa, lkn pia serikali yao haina pesa ya kuandaa michuano.wakitaka Ruto awasikilize wakachome Talanta
View: https://x.com/omwambaKE/status/1858811099287540106
Si nliskia hiii nchi watu ni weupe kama pamba!View attachment 3156301😂😂😂nilishuhudia huu mtanange leo
Watanzania wengi ngozi zetu ni zile za kupendeza machoni hata mtu akiwa mweusi haiwi ile nyeusi ya kukera kama msudan au mkenya, hata hiyo picha unaweza kuona ni rangi Fulani hivi kama black Americans.Si nliskia hiii nchi watu ni weupe kama pamba!
Mbona naona waSUDAN tupu
Mnaogopa Atlanta kweli kweli😂😂😂.wakitaka Ruto awasikilize wakachome Talanta
View: https://x.com/omwambaKE/status/1858811099287540106