Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unaonyeshwa kwamba Nairobi lami iko kila Corner and NairobiWalker has used Rosslyne kama example kukuonyesha paved roads kila mahali lakini wewe na ujinga wako unahamia ukubwa. Ukubwa wa Dar ni mashamba ya mihogo na huko huwa hakuna barabara hata ya vumbi. Mtanzania kuona lami lazima aende main road😂😂
 
Aise nimeziangalia hizo barabara za hako ka estate/ mtaa ambao ni extension ya Runda by the way...kwanza ni low quality na hazina pedestrian walkways wakati ni residential area. Halafu mnaita poshy and rich.
Hebu twende kwa richest in Dar mbweni. Utazame barabara zilivyo na sidewalks, wide, clean etc....
NB. Mbweni=Runda, kitsuru,Giligil,karen, Rosslyne, Ridgeway, windsor and Muthaiga. Huku kwetu tunaita mitaa hiyo ndani ya kata/ward mfano Mbweni

I lived In Nairobi and I know what am writting
 
Bro, the issue here was to show you that Nairobi estates has roads almost everywhere. In Tanzania only Mbweni estate ndio iko na barabara. Kwanza hiyo mbweni ni ya matajiri na sio fukara wengine kama nyinyi wa hapa JF. In Kenya hadi slum dwellers wako na barabara za lami in their neighborhood.
 
Nimetazama video ya hiyo mbweni and I can confidently say that most Nairobi neighborhoods has better roads kuishinda. Even Milimani in Kisumu imeishinda mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…