Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,258
- 35,721
MoshiBorder ipi hii?
Mnapo twambia mna km 20000 za rami ni zipi ebu tutajie angalao barabara 10 zenye km 500 hapo 🇰🇪Garissa Nairobi Road is only 340Km and was constructed in 2011, Najua hamjazoea barabara smooth hivo cause almost all Tanzanian roads are either muddy, dusty or full of potholes.
Wacha kurukaruka kama churaMnachoshindwa kuelewa ni kuwa nyie mnapokea mishahara mikubwa kwasababu cost of living Kenya ni kubwa sana unlike Tanzania. Hela nyingi inaingia mfuko wa kulia na nyingi inatokea mfuko wa kushoto mwisho wa siku nothing is left in your pockets.
Our purchasing power iko juu kuliko yenu with 1USD I get more products in Tz than in Kenya.
Mbona we mpumbavu unaabudu uongo wewe.? 👇🏾I remember well explaining that the two furthest towns from each other in Kenya are Lungalunga and Lokitaung and they're 1600km apart and they're connected by tarmac. Ama mlitaka tujenge Hadi tuingie South Sudan na Tanzania? Bongolala mna shida ya kufikiria.
Na hiyo lokitaung haina hata cm moja ya lamı. 😂😂😂👇🏾I remember well explaining that the two furthest towns from each other in Kenya are Lungalunga and Lokitaung and they're 1600km apart and they're connected by tarmac. Ama mlitaka tujenge Hadi tuingie South Sudan na Tanzania? Bongolala mna shida ya kufikiria.
Bongolala, the ability to own or purchase a car is directly proportional to an individual's financial wellbeing. It has nothing to do with number of people ina given area. Huenda mkawa wengi in a particular place lakini nyinyi nyoye ni masikini hata ndoto ya kumiliki gari ndio hamna.Kama huwezi kuchanganua relationship between population density na number of cars basi elimu yenu ni duni sana. Maana mwenzako alijinasibu kuwa uwingi wa foleni za magari Kenya ni mkubwa na akaenda mbali kuwa hii inaonesha kuwa Kenya kuna magari mengi kuliko Tanzania ndio nikamjibu hivyo.
Exposure ndio shida kwa hawa ndugu zetu.Unaweza toa mtu kijijini ila huwezi toa kijiji kwa akili yake. Hawa watu hawana exposure.😂😂
Our inner roads are have long network of paved roads than your country. Highways doesn’t even account for 40% of our roads.Mnapo twambia mna km 20000 za rami ni zipi ebu tutajie angalao barabara 10 zenye km 500 hapo 🇰🇪
NairobiWalker naona kuna kazi hapa😂. Naona huyu fukara ameenda kutafuta barabara kwa msitu😂😂Na hiyo lokitaung haina hata cm moja ya lamı. 😂😂😂👇🏾View attachment 3155295upumbavu mtupu.
Bongolala, Lokitaung has better roads than most parts of Dar is slumNa hiyo lokitaung haina hata cm moja ya lamı. 😂😂😂👇🏾View attachment 3155295upumbavu mtupu.
Bajaji na bodaboda, legacy ya Mkwere hii na janga la taifa!
Kwani wewe kijana nyang'au una exposure gani zaidi ya kuangalia mitandao ya kijamii?1😎😁Exposure ndio shida kwa hawa ndugu zetu.
I’m more exposed than you. By the way unakuanga mwalimu wa nursery school ama PrimarySchool?Kwani wewe kijana nyang'au una exposure gani zaidi ya kuangalia mitandao ya kijamii?1😎😁
Wewe kijana nyang'au unachekesha sana😁I’m more exposed than you. By the way unakuanga mwalimu wa nursery school ama PrimarySchool?
Huwa unafikiria hatujui wewe ni mwalimu?Wewe kijana nyang'au unachekesha sana😁
Afadhali nikuache na utoto wako wa kinyang'au😎Huwa unafikiria hatujui wewe ni mwalimu?