El Matador
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 7,132
- 3,936
Uwongo..........hapo kwa story ya domestic violence huwezi zuia.....ukiwa umelala bibi akutime hutakuwa na lakoMbona unakwepa maswali yangu!? Alah! Nilikuwa sijui kumbe siku hizi wakenya mpo na mapenzi. Mbona wanawake wa kenya wanawapiga waume zao? Kuna siku waliandamana kuwa hamuwapigi miti vizuri, hivi ni kweli?