Continue believing what you believe wakati mimi whatever I eat in one meal cost yake inaezakuliza wiki mzima.purchasing power gani wakati hata hata sahani moja ya chakula ni kitendawili kwa karibia kila mtu. Na walio wengi wanakula ugali na majani.
Hata Nyanya mtu awezi afford!
View attachment 3153847
Tanzania ni mafisadi ila Hawa jamaa wamevunja rekodiUchina wanajua sana kuibia Nchi za kipumbavu kama Kenya,Uganda na Angola.
Huu ni Uwanja wa Trilioni 7 kweli? Mbona afadhari hata wa Msalato-Dodoma 👇👇
View: https://x.com/BusInsiderSSA/status/1856997158043422765?t=YBbo_6YAsZoG-tk-iUsmGw&s=19
Na imebaki hivyo hadi mwisho😁😎Stars kaweka chuma cha pili huko.
Tujikumbushie
TujikumbushieHarambee Starlets vs Cameroon 🇨🇲 AFCON ni moto🔥…Mind you Cameroon just participated in the just recent world Cup and highly FIFA ranked…..
Tunazungumzia idadi kubwa ya Wakenya na sio wewe. 😂 😂Continue believing what you believe wakati mimi whatever I eat in one mill cost yake inaezakuliza wiki mzima.
Are you aware that Kenya has more people categorized as middle class by World Bank compared to Tanzania?Tunazungumzia idadi kubwa ya Wakenya na sio wewe. 😂 😂
Hakuna mwenye hela zake akaokota matikitimaji akala.
View: https://x.com/KipepeComrade/status/1829572627922628639
Mdomo mdomo. Kenyans wanaongea sanaTujikumbushe
Unataka kusema ni rahisi?😎Hawa wameaminishwa Kenya maisha ni magumu...
Kenyans earn more money than Tanzania, end of story.Unataka kusema ni rahisi?😎