so kama tozo inafanya kazi hio hzo over 20b usd zilikopwa kwa miradi ya TARURA tena??πMimi sidanganywi na mtu yeyote ninajua.
Tozo ya miamala inafanya kazi ifuatayo ππ
View: https://www.instagram.com/p/DB8tOxktBdw/?igsh=dWw5dms3cDI0YTl1
Na matokeo yake ni kama haya hapa ,on top of other sources kama RISE,TACTIC,Agri Connect,DMDP,BRT(from 20b usd) ππ
View: https://www.instagram.com/p/DCZQ10jtNH9/?img_index=1&igsh=MXhnaWxxOTNqczVmcQ==
unashangilia kifo cha airtanzania kwa route ya nairobi, wakenya wajanja sana
Kwani Kuna tatizo mtu akifungua biashara nje ya mipaka ya nchi yake!?Naweza kukupa mifano ya wafanyabiashara walio hamisha baadhi ya biashara zao nchi nyingine kipindi cha Magu kama Zachariah Hanspope Zambia, Petrofuels Zimbabwe, Botswana na Namibia, Mount Meru Rwanda the list is long sasa wewe leta list ya watu waliohamishia biashara zao Uganda.
Tanzania Kuna kampuni ngapi Zina operate na Bado haijafa?unashangilia kifo cha airtanzania kwa route ya nairobi, wakenya wajanja sana
Ndio na ndio zinafanya kazi zifuatazo ππso kama tozo inafanya kazi hio hzo over 20b usd zilikopwa kwa miradi ya TARURA tena??π
Kuna Rais amemwaga maendeleo Nchi hii kumzidi Samia? Yupi hiyo?kumbe sio maendeleo basi wananchi wanahitaji zaidi maendeleo kwanza
Kichaa huyo analeta siasa zake za chadema.Kwa fact ipi mzee.? Umeulizwa kenya kuna train za umeme.?
Kuna mtu anasema wafanyabiashara wanakimbilia kuifungua biashara Uganda tumwamini yeye Yuko benk, ila kashindwa prove kwa Nini export kwenda Uganda zinazidi kupandaKwani Kuna tatizo mtu akifungua biashara nje ya mipaka ya nchi yake!?
Kwani mnalenga nini mkuu maana Bado sijawaelewa.
Kwanza huyo ni mkenya kajiunga Nov 9, 2024.Kwa fact ipi mzee.? Umeulizwa kenya kuna train za umeme.?
Watanzania huwa hawaelewi what individual purchasing power is always is, very foolish creatures ππHivi unajua maana ya purchasing power wewe ng'ombe?ππ
Tanzania's education is shit.
Umezoea kukopa vitu unadhani wote ni kama wewe? Wewe endelea kukopa mapicha ujaribu kudanganya nao watu.Economy ambayo mnashindwa lipa mishahara ya wafanyakazi wenu mpaka mkope
Sisi tuko levels hizi kijana.Look at the kind of cars landing at Mombasa Port. Hii ingekuwa kule kwa wachawi magari yangekuwa yanashushwa ni ya miaka ishiriniππ
View: https://x.com/Kenya_Ports/status/1857400647303266321
Bado mko chini ya Kenya in the number of health facilities. Hakuna any development indicator that Tanzania will ever be ahead of Kenya.Teargas ikufikie huko kibera slum ππ
View: https://www.instagram.com/p/DCV7QD5IoHJ/?igsh=OXBzaHV5bGI0MHMyCc ichoboy01
Levels za kuimport 30yrs old cars?Sisi tuko levels hizi kijana.
Another cargo ship sets new record at Dar es Salaam Port
The first consignment of its kind, according to details will arrive at Dar Port from Singapore after a journey of 10 days.www.thecitizen.co.tz
Refurbishment is one thing maintenance is another. We all know how you maintain things in Kenya.
Yet you all dream of having such facilities in Tanzania outside Dar. No wonder Tanzania still lag behind Burundi in infrastructure development index.Refurbishment is one thing maintenance is another. We all know how you maintain things in Kenya.
Huu ni mradi wa kuboresha miji Tanzania under Central government inaitwa TACTIS kama sijakosea.soko linajengwa na serekali kuu au halmashauri hapo sijaelewa bado ??ππ
leta miradi ya mikopo ndani ya miaka mitatu ya over 20b usd alaf tuendelee kujisifu tunakusanya kodi na tozo za kila aina ππππππ
tuna waziri yuko kwenye fedha nae anamiliki team ya mpira hahahahah