Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya kuna magari kuliko tanzania na tz ndo wengi ki population kuliko Kenya kuonyesha kenya ni matajiri zaidi
Nani kakupa hizo data, Kenya gari nyingi ni probox, alafu zimejazana tu Nairobi kwasababu wakenya wote wana dream kwenda Nairobi, Tanzania gari zipo kila mkoa, hamuwezi kushindana na Tanzania linapokuja suala la magari.
 
Hii tulishai discuss in deep na mkakimbia, usijifanye mwehu.
 
Mnakuja kwa sababu kuna mzunguko wa hela na abiria wa kutosha mbona hamuendi Burundi
Abiria wakenya?😂😂🤣.

Ingekuwa mna abiria JKIA haingekuwa inahandle more passengers than the number of all passengers handled by all Tanzanian airports.
 
Nani kakupa hizo data, Kenya gari nyingi ni probox, alafu zimejazana tu Nairobi kwasababu wakenya wote wana dream kwenda Nairobi, Tanzania gari zipo kila mkoa, hamuwezi kushindana na Tanzania linapokuja suala la magari.
Wewe uko na gari? Unaongelea probox as if huna Range Rover. Kenya kuna gari mingi kuliko all East African countries combined.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…