Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kimsingi interchange iliyotengenezwa ni bora kuliko hiyo design ya mwanzo. 👇🏾View attachment 3146921View attachment 3146923six lanes hizi.. ile design ya mwanzo haukua na BRT lanes.
Hao mbwa waharibu thread a.k.a wazee wa kupiga wasikutoe kwenye reli, hiyo picha ya interchange ni render ya Ethiopia na imetoka juzi tu hapa wakati interchange ya ubungo ishakamilika, tatizo hii thread imevamiwa na machawa wa kutoka jukwaa la siasa ndiyo maana kwa sasa tunaipotezea, imekuwa ya ******* sana na kupoteza mvuto.
Hii ni render ya Ethiopian interchange, kuna mjinga anazoa kila kitu na kuweka humu, mwanzoni tulifanikiwa kumdhibiti kwa huu ujinga wake lkn kwa sasa amepata back up ya machawa wenzake kutoka jukwaa la siasa na kuharibu hii thread.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…