kaka je tumejiandaaje kupambana na hujuma na kwann hujuma kwa reli kila mara kuna maswali tunafaa kujiuliza sanaKumbe kuna ******* juzi walikata nyaya za umeme zinazopeleka umeme kwenye treni, ni hujuma kumbe na kuna ******* washakamatwa ππΎ
View: https://youtu.be/tJIHahLj8Xc?si=fSJbVK_yB3m-vHS-
kawa mpumbavu sasa hvi πππππKadogosa ni mpumbavu nae asitafute excuses, SGR lazma ilindwe na ni wajibu wake!
nop nop tusiwatupie lawama wakenya tujiulize swali mm na ww ni kiongozi gani mkali anaeweza kusimamia miradi mikubwa kama hio jibu ni hakuna simple and clear tusitafute wachawi nje ya mipaka wakat miradi sasa hvi inajiendea ovyo ovyo hakuna mfatiliajiHii sabotage unaweza kukuta hata kunyan wanahusika kwa kushirikiana na wa TZ wanaoangalia future ya matumbo yao tu
hahhaahaha πππππ na miradi alioanzisha yote ilikua chato ???Hii miradi ingekuwa JPM bado yupo isingetekelezwa hapa bali Chato!
Viwanda vya nyama vimejengwa kipindi cha Magu ww kumbe haujui kitu, kiwanda cha Morogoro , kiwanda cha kibaa na kiwanda cha Arusha vyenye standard za kimataifa vimejengwa lini?Viwanda hivyo hivyo ndivyo vimelegwa na sera nzuri za Samia.
Unadhani Kwa nini kabla ya hapo mauzo hayakuongezeka?
Kwa nchi za kiafrika huwezi kupata. Mkuu jinai Huwa haifi kwahiyo yaan Mimi ningependezwa audit ingefanyika kwa miradi yote kwa miaka 10 nyumaMkuu Mimi nimecheka Sana, nadhani tubaki kimya, kuna watu wanafikiri unapoongeza bajeti ndio maendeleo bila kuzisimamia watu wanakula. Deni la 54 trillion , ukizifanyia audit hautaziona value yake kwenye miradi hiyo.
kaka tutasema bila magu kwasababu he was there to fight with kenya hatujawah kushinda mradi wowote dhidi ya kenya before magu tusiongee vitu kwa mihemko tu, tanzania imeamka dhidi ya kenya kipindi cha magu kwani leo tunasahau wakenya walikua wanaingiza ng'ombe zao kwenye hifadhi za taifa kwa ajili ya malisho wakawa wanaharibu mazingira baada ya kukamata ng 'ombe zao uliona heshima haikurudi??? au uliona walileta tena ??? go east go west jamaa was a real fighter hata sisi humu tumeanza kutunisha misuli kipindi cha maguHatukatai kuwa Magu aliuchangankia huu mradi uwepo Tz ila tunachokataa ni kauli kama bila Magu huu mradi usingekuwepo.
Maamuzi ya mradi upite wapi ni kazi ya investor serikali kazi yake ni ku facilitate tuu.
so inamaana na huu mradi ulianza kipindi cha magu πππππππ
Tatizo lenu mnalazimishia watu his accomplishments ambazo nyingi si kweli!hahhaahaha πππππ na miradi alioanzisha yote ilikua chato ???
leo tunafurahia madini yanachangia more than 10% kwenye pato la taifa ila tunasahau ubabe wake wakubadilisha sheria ndio umefanya mambo yamekua mazuri mpaka kesho kwenye sekta ya madini
kabla yake tanzanite ilikua inajulikana inatoka kenya na india je baada ya kufanya mageuzi leo tanzaniate inajulikana unatoka wapi?? kuna mambo we have to appreciate hata kama inauma
bila kidume hio dodoma ingekua kama shinyanga tu πππππ
πππππππππππππππππππππππππππTatizo lenu mnalazimishia watu his accomplishments ambazo nyingi si kweli!
Kwa mwaka 2020/2021 magu alikaa nusu mwaka maana mwaka unaisha 30/6 ujenzi wa hivi vituo uliendana na mradi wa madarasa ya COVID ambayo kimsingi yamejengwa kipind Cha 2021/2022 haya yalikuwa madarasa ya sekondariso inamaana na huu mradi ulianza kipindi cha magu πππππππ
Nilitamani mtu aniletee mapato ya mauzo ya madini kabla 2021 tulinganishe na saa hiii. Magu anaweza kuwa alibadilisha Sheria ila akafukuza wanunuzi saa hii wanunuzi wanafurika labda kwa sababu ya ufisadi wa Samia π€£π€£Tatizo lenu mnalazimishia watu his accomplishments ambazo nyingi si kweli!
Jiandae kutukanwaTatizo lenu mnalazimishia watu his accomplishments ambazo nyingi si kweli!
Hii shule ilipaswa kuwa Bukoba ambapo Museveni alijificha wakati wa mapambano! Ila ikapelekwa Chato.
View: https://youtu.be/vLTb7T7IT2s?si=L20LEYB6qA_51bqD
Mbona haikuwa kama Shinyanga?bila kidume hio dodoma ingekua kama shinyanga tu πππππ
Hapo Kuna mradi au Kuna miradi ya zahanati 980? Una panic kama Baltazar wa Guineaso inamaana na huu mradi ulianza kipindi cha magu πππππππ
Yule alikuwa kajike na siasa zake za kupeleka kila kitu Chato!bila kidume hio dodoma ingekua kama shinyanga tu πππππ
Unaweza kueleza ilikuwaje kipindi cha Magu hakukuwa na wizi?Duuh hapa kinachopingwa ni kuwa magu kafanya mengi kuliko Marais wote, watu wanashindwa tofautisha vipato vya nchi kipindi kwa vipindi vyote vya urais na kwamba kipindi Cha magu hakukuwa na wizi.
Kuhusu hii ya kikwete kwenye ujenzi wa barabara, iko technical kidogo. Kumbuka waziri aliyesimamia hizo barabara alikuwa huyo huyo Magu. Kwa haki ya marais wote wawili tungelinganisha miradi mingine ya kikwete ambayo haikuwa chini ya wizara ya ujenzi ili tuwe fair kwa wote.Kwamba kikwete alitakiwa akakope 10bil USD ili ajenge reli wakati alipokea nchi ikiwa kwenye GDP ya 18 bil na akaondoka na 49bil USD.
Wengi hatutaki angalia uhalisia hata ukiingia TANROADS Official Website :: Projects
Kikwete awamu ya 1 alikuwa na miradi mingi sana tena ya kufungua nchi kuliko hata huyu magu , ukija barabara tu jk awamu ya kwanza anazaid ya km 3000 huku jpm akiwa Hana hata 2000km mpaka anaingia kaburini.
Kaka, hatukatai anayoyafanya mama Samia, kuendeleza miradi ya awamu ya tano, ambaye yeye mwenyewe alihusika. Tofauti ya Magu na wengine ni kuwa miradi yake ilikuwa ni a game changer, yaani alifanya a paradigm shift kwa watanzania na Afrika kwa ujumla, alionesha tunaweza. Yale mawazo ya kuwa Afrika haki yetu ni treni za gari moshi aliondoa, wakubwa walitaka tuifufue MGR tuu. Eti, tukitaka kupanda mchongoko twende kwao, Kha!Kila rais ana jambo lake alilolifanya hata Samia Kuna mengi anayafanya ila kwa sababu watanzania Huwa tunapenda kuwa na yule kiongozi anayeropoka ndo maana tunaona magu alifanya mengi sana
Ubaya na upendeleo wote aliofanya kwa Chato kumesahaulika! Alisahau kubadili mentality ya Wasukuma!Jiandae kutukanwa