concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 7,002
- 15,475
Mkuu kwanza utambue kabisa ubungo basi terminal ilikuwa chini ya manispaa ya ubungo na kama alikuwa ni kinjekitile ngwale ndio alipata tender ya ukusanyaji ushuri hakuwa na uwezo wa kujenga choo maana haikuwa Mali yake na ingekuwa ni kinyume na mkataba.Mkwere si aliwamilikisha stand ya Ubungo, ikawa kama soko na hawakujenga hata choo.
Unajifanya hujui hilo?
Duh!! Ndugu kuna vitu huvijui bora ungekaa kimya tu. Please watu wanahasira na usiamshe hasira zao.Mkuu kwanza utambue kabisa ubungo basi terminal ilikuwa chini ya manispaa ya ubungo na kama alikuwa ni kinjekitile ngwale ndio alipata tender ya ukusanyaji ushuri hakuwa na uwezo wa kujenga choo maana haikuwa Mali yake na ingekuwa ni kinyume na mkataba.
Kwa ushauri fuatilia ripoti ya mapato kwa manispaaa ya ubungo kwa kipindi chote utakuta taarifa ya mapato yatokanayo na ushuru wa stendi yalikuwa yanasoma. Sasa kama yalikuwa yanasoma ikawaje yasome ubungo wakati kinje alikuwa amemilikishwa. Walau ungesema kuwa hakukuwa na open tender ya kumpata mzabuni ungeeleweka .
Duh!! Ndugu kuna vitu huvijui bora ungekaa kimya tu. Please watu wanahasira na usiamshe hasira zao.
Mimi nakubali kukosolewa je ni kweli kupewa tender ya kukusanya ushuru ndo unakuwa mmilikiDuh!! Ndugu kuna vitu huvijui bora ungekaa kimya tu. Please watu wanahasira na usiamshe hasira zao.
Mkwere si aliwamilikisha stand ya Ubungo, ikawa kama soko na hawakujenga hata choo.
Unajifanya hujui hilo?
Nyie mnaleta mambo ya ki maku na hata kuwasifia wakiana Kinje, walio sababisha kwa kiasi kikubwa kuzorotesha uchumi wa Tanzania.
Hiki Kizee kingese na kichawi!
View attachment 3143496
hakiri=akiliHivi Sisi watanzania tuna hakiri kweli, inakuwaje wakenya wanakuwa na bank nyingi Tanzania arafu Sisi hatuna bank yetu Kenya?
๐๐๐ we jamaa umeniacha hoi kinoma. ๐๐พ๐๐พhakiri=akili
arafu=halafu
Unapoandika tafadhali zingatia usahihi wa lugha; iwe Kiswahili au lugha nyingine. Watu wanaweza kukuchukulia kuwa wewe ni kilaza.