President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,655
- 94,301
Acha upumbavu mzee. Chuki zako binafsi kwa Magufuli peleka kwa Mama yako. Magufuli alitufungua watanzania kujiamini.Ilikuwa serikali ya majambazi ya Kisukuma!
Huo ndo ukweli wakitaka tuletee battle ya Samia na magu tatizo Huwa wanakimbiaNgoja tuache tugange yanayoendelea.
Kimsingi Kundustan hawana hata mradi mmja wa kuonesha humu zaios ya mipasho ya malls na vijengo vya Nairobi 🤣🤣
Hawawezi kukubali,ligacy ilishafunikwa.Wataanza kutukana 😁😁Huo ndo ukweli wakitaka tuletee battle ya Samia na magu tatizo Huwa wanakimbia
Hapa ni Battle ya Dar es salaam vs Nairobi.Huo ndo ukweli wakitaka tuletee battle ya Samia na magu tatizo Huwa wanakimbia
Mamangu anaingiaje hapa sasaHapa ni Battle ya Dar es salaam vs Nairobi.
Hiyo unayoitaka peleka kwa Mama yako.
Anaingia kwa sababu unaendeleza mijadala ya kipumbavu. Unatuharibia mada yetuMamangu anaingiaje hapa sasa
History shall remember the weight of actions, not the transient nature of titlesUpo nje ya muda. Wat nation protect is a title not a person.
Person is nothing without title.
Wewe ndo unaendeleza Sasa , acha kushobokaAnaingia kwa sababu unaendeleza mijadala ya kipumbavu. Unatuharibia mada yetu
Hapa tupo kwenye battle. Kama umeishiwa content basi baki kuwa mpenzi mtazamaji sisi tunazo za kutosha.Wewe ndo unaendeleza Sasa , acha kushoboka
Acha nikupuuuzeHapa tupo kwenye battle. Kama umeishiwa content basi baki kuwa mpenzi mtazamaji sisi tunazo za kutosha.
Kutuletea Mjadala ulio nje ya mada yetu ni upumbavu.
We fala huna audacity ya kuniambia cha kufanya humu ndani! Pita kuleee…Acha upumbavu mzee. Chuki zako binafsi kwa Magufuli peleka kwa Mama yako. Magufuli alitufungua watanzania kujiamini.
Aliwafanya watanzania wajue kuwa wanaweza. Kama aligusa maslahi yako sorry binafsi, is part of National Interest
Asante kwa kuelewa somoAcha nikupuuuze
Nimeshakwambia sasa. Ukatae au ukubali message umeipata sawa sawa na imegonga bichwa lako.We gala huna audacity ya kuniambia cha kufanya humu ndani! Pita kuleee…
I am not talking about history. I am talking about national protection. The Nation Protects only the current leader, if you are not a leader now you are not the current interest of the Nation. Na kuwa kiongozi means title.History shall remember the weight of actions, not the transient nature of titles
Tuache uzwazwa,magu na mama wote ni binadamu wana mazuri na mabaya yao,acheni ujingaKuna ule mradi wa aliyekuwa Waziri wa Nishati kujichotea mabilioni Kila siku Kwa mgongo wa kuweka pigment kwenye Mafuta,Samia alifutilia mbali huo upuuzi sema kawastahi tuu.Happ watapitia kimya kimya 🤣🤣 Mbunge Shabiby aibua ufisadi wa kutisha EWURA, Waziri wa Nishati Kalemani asema walishavunja mkataba na kampuni fisadi
Hapo sijagusia malipo hewa ya hela za 10% za Halmashauri Hadi Mama aliagisa kusimamishwa huo utaratibu Hadi kanuni Mpya ziwekwe.