Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

so tuendelee kushangilia kua tumekopa 50 trillion in just 3 good yrs πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ndio,mbona unataka kuhamisha magoli? Au tuendelee kuparalyse sekta zingine Kwa kuwa tunajenga Sgr in Mwendazake 's voice? 🀣🀣

Nyie Wafuasi wa Mwendazake mnapoteza mda,Kwa mama miradi hatuokotezi ni utitiri tena Kila sekta Kila Mkoa Kila Kijiji na mtaa.
 
KTX ni Hyundai
Muwe na usiku mwema
KTX Korea Train eXpress kama TRC hapa Tanzania
Uwe unafanya kwanza research kabla ya kujibu comments zangu. Utaonekana mpumbavu



 
Nyie Wafuasi wa Mwendazake,hapo Kwenye Kilimo sijamaliza
-Mama anajenga Maabara ya Taifa ya Kilimo
-Mama anajenga Viwanja vya Kisasa vya Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo 8/8 pale Dodoma na Mbeya
-Anajenga Vihenge vya kuhifadhia mazao Mikoa mikuu ya uzalishaji lengo ni kuhifadhia tani mil.3 by 2030
-Mama amewezeha ujenzi wa viwanda vya mbolea Dodoma na Sasa kingine kinaendelea Mtwara
-Mama amewezesha ujenzi wa ofisi za Kilimo Cha Kila Mkoa na kuwezesha Tume
 
Nchi jirani gani?
 
kwani zilinunuliwa kwa loan?? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

si tumeambiwa ni cash deal ama mm sijui
Hizi hapa pesa unafurahia kuziona zimeandikwa moja moja kwenye mitandao. Zikiunganishwa kwa pamoja unapiga kelele. STUPI

African Development Bank approves $696.41 million of financing for Burundi and Tanzania to build 650 kilometers of rail infrastructure to develop the Central Corridor network​


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…