Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 to show where your passport is stamped tunazungushana hivi. In short you your passport is not stamped
Do you have a passport? Ama unapata tu furaha kupingana na mwenye ako na Passport? By the way do you even know what Passport is? Do you know the work of Passport?
 
Uhuru Park

1730577183609.jpeg
 
Kwani wakenya mna English gani ya maana at least hata waganda wanajitahidi ila Kenya mkitoa lugha zenu za asili hakuna lugha nyingine mnaiweza Kwa ufasaha
Wanakuambia wao ni English speakers cha ajabu zikitoka list ya Afrika countries zinazoongea English huwa hawapo kabisa, hata unapoomba scholarships nchi za ulaya, Kenya inahesabika kama nchi isiyojua English na wanatakiwa wafanye mtihani wa lugha kama waburundi au wacongo au wacomoro tu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Venus Star i dare you to post a full picture of that Passport. Post the cover page and first page vile nimefanya😂😂🤣😂
 
Back
Top Bottom