Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hukusoma😂😂🤣

The Waterfront Sunset Restaurant & Beach Bar​

Tanzania watu wanakula ndio maana sura zetu ni nzuri. Huko kenya mnasukuma maisha tu

1730544746000.png


1730544761561.png


1730544776250.png
 
Na ninaingiza kuliko ukoo wako wote.anyway babako ni nani kati ya shepherd au bulldog? Tuambie babako ni yupi hapo tukusaidie kupeleka kwa babako usife maskini Kenya🤣🤣🤣🤣🤣
Maybe takataka unaezaingiza kuliko ukoo wangu. I know you are among the 56% extremely poor Tanzanians😂😂🤣.

Shule hukukanyaga na pia unaishi maisha ya umaskini sana.
 
My account is not for public showoff

30,000 tonnes of cashew ikiwa imemwagwa kwa ukaguzi
Piga 30,000*3210
Wewe
You don’t have anything in your account fukara hii😂😂🤣🤣. Najua hata unatamani kuwa na 5k lakini huo uwezo😂😂🤣
 
My bank account is not for public showoff, ni maskin kama wewe ambaye unaamini kuwa kuonesha amount iliyopo bank ndo kuwa na Hela
Haya hizo korosho zinakaguliwa kwa ubora Leo jumla ziko 30,000kg unahisi zitaingiza kiasi gan ?
View attachment 3141468
Ukishamaliza kufanya tathmini uje nikufundishe kazi
Unatuwekea picha umetumiwa na WhatsApp?😂😂😂😂

Picha zenyewe sio zako, Yani nyinyi watanzania lazima mfake tu life ndio mueze kushindana na mimi?😂😂🤣
 
Is either your account is empty ama hata hiyo bank account ndio huna😂😂🤣
Ndo maana nakuambia utachekwa yaan uuze korosho halafu usiwe na bank account ndo maana nakuambia wewe Bado ni nincompoop kwenye financial freedom ,
Kwenye biashara kwa mfanyabiashara yoyote you don't disclose bank account for your safety .
 
Back
Top Bottom