Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Anakuambia yeye ni muwekezaji kisa anacheza bitcoin, na wakenya wengi ndiyo michezo yao, bitcoin na betting coz no job opportunities za kutosha huko Kenya, vijana wengi ni kamari na wizi tu, Kenya ni typical failed state and shit hole ๐Ÿ•ณ๏ธ at the same time.
 
heheheh ChoiceVariable kwa hapa sasa nimekubali ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป


View: https://x.com/millardayo/status/1852321771849974252?s=46
Kwanza hakuna Cha ajabu Wal Cha kubabaisha Nchi.

GDP size 215Trilion less National Debt 97T yaani kiufupi Bado tuko chini ya 50%

Mwisho kushuka Kwa Shilingi vs Dola ndiko kumeongeza sana deni ,hata hivyo mnapenda miradi ila mnajifanya hamjui kwamba ni mikopo
-DMDP2

View: https://youtu.be/zvVEUBwFe5M?si=Ma7C0Nzurjy7fwaR

-Madaraja 93 ya TanRoads

View: https://www.instagram.com/p/DB1lZmTqFl2/?igsh=MW4wb29kNGJhdGpjNg==
 
Wakenya hakuna kitu mnaweza maana biashara zote zipo chini ya wasomali na nyie ndo mmekuwa mabakitatu wao au mkimbilie utumwani Gulf
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Dooooh kumbe akili wewe huna!??
Ndio maana nikasema maarifa ya maisha wewe huna.
Mimi ninajikita katika project kubwa kuliko hizo.
1)Nina knowledge ya madini hususan gemstones.Hapa nilipo kuna watu na leseni zao wananifuata kila nikiwafanikishia mzigo wananipa 30% ya faida.
Wewe kaa tegemea hivyo vi saccos vyako.
2)Elimu ya mifugo usiichukulie simple,iwe ufugaji kuku au ng'ombe.Sio kila anayefuga kuku basi anafanikiwa.Embu nenda kaulize large scale poetry/ livestock trading ikoje.
Mimi nina maarifa ya maisha na vitu tangible ambavyo vinaleta manufaa ya papo na hapo yanayoonekana ikiwezekana na kuajiri watu wengine zaidi.
Huna maarifa ya maisha kijana.
Kwahiyo ukikaa na wadogo zako ukiwa unawaelekeza maarifa ya utaftaji utaishia kuwaambia kuhusu saccos na treasury bonds!?
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Aiseee yani una akili iliyojifunga.

Sama boy 255 njoo kaka umchukue kijana wako.
 
Can you earn 250,000 ksh per day with this? If not possible kubali ufundishwe business acha na treasury stocks hazitakupeleka mbali
Ndio maana namwambia hana maarifa ya maisha.
Hana kabisa maarifa ya maisha huyu jamaa,ana akili mgando sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ