Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

There as hungry as Kenyans. Njaa, WIZI NA KUOKOTA CHOCHOTE CHA KULA.
View attachment 3139542

View attachment 3139543
The good thing these South Africans are stealing in their country, not in other peoples countries like you witches? Yani watu ni maskini Tanzania hadi hamuezipata mtu wa kuuzia dawa za kulevya 😂😂🤣. Inabidi muende nchi za watu wengine ndio at least mpate customers😂😂
 
Huwezi ona watu wanaiba mikate or kukimbilia kwenye magari ya chakula ama matunda yalioanguka wachukue wakale in Tanzania.

Tabia hizi unaona Kenya, Nigeria, South Africa na nchi nyingine za Africa kwa sababu za umasikini na njaa.

Huwezo hilo in Tanzania.
 
Hivi wanajua kwamba pamoja na vurugu zote za dar - dodoma ni treni mbili tu ndo zinafanya kazi .
Ya treni mbili tu ndo zipiga trip 3 kwa siku .
Ya siti Moja ya economy dar-dom inaingiza 93,000 kwa siku huku zile business 210,000 kwa siku.
Hapo hatujafungulia Ile stock ya pale pugu. Hapo Kuna vichwa vimekosa mabehewa mpaka vinatia huruma pale pugu
 
Huwezi ona watu wanaiba mikate or kukimbilia kwenye magari ya chakula ama matunda yalioanguka wachukue wakale in Tanzania.

Tabia hizi unaona Kenya, Nigeria, South Africa na nchi nyingine za Africa kwa sababu za umasikini na njaa.

Huwezo hilo in Tanzania.
Wenzako wanakimbilia mikate ili kukata bajeti ya toilet paper SI unajua kwao maji mtihani
 
Huwezi ona watu wanaiba mikate or kukimbilia kwenye magari ya chakula ama matunda yalioanguka wachukue wakale in Tanzania.

Tabia hizi unaona Kenya, Nigeria, South Africa na nchi nyingine za Africa kwa sababu za umasikini na njaa.

Huwezo hilo in Tanzania.
Tanzania wamewachiwa kuomba chakula barabarani kwa nchi za wengine sindio?😂😂🤣😂
 
1730327575851.png
 
Back
Top Bottom