Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

It is shocking to know that Tanzania has land size twice of Kenya and has population greater than Kenya and it's land size around 330 per cent is arid while for Kenya it's 80 per cent arid. But Kenya's economy is larger than Tanzania, Kenya is more developed tthan Tanzania and Kenya is middle income economy while Tanzania is LDC. Tanzanians I think you guys are lazy and need to wake up. You should be in league of Nigeria cox ur country is larger than Nigeria
Wow....!
 
Way to go.

Zimbabwe gov focused on making Air Zimbabwe profitable; is leasing 15 aircraft from Malaysia to replace old planes and allow new routes, reports The Herald.

Wengine walijiingiza kichwa kichwa... We all know what happened.
Kenya mliacha kununua mkaamua kukodi, kilichotokea dunia inajua, KQ ipo ICU, inekuwa ndege ni zenu binafsi mngeweza kuuza baadhi ili kupata pesa ya kulipia japo salaries
 
Way to go.

Zimbabwe gov focused on making Air Zimbabwe profitable; is leasing 15 aircraft from Malaysia to replace old planes and allow new routes, reports The Herald.

Wengine walijiingiza kichwa kichwa... We all know what happened.
sisi hatufanyi lease sisi tunanunua cash kama tulivonunua 7 aircraft kwa mpigo, maana hata kq ndege zote mume lease

na tunajua madhara ya lease ndio maana tunaepuka sana
 
maana official link huzitaki😀😀😀😀 unataka nini sasa?????
maoni yako ndio unaita 'official link' bro??? ama ni lugha ndio huelewi, nimesema am not requesting you, I demand/ command you to bring me the statistics... not from your ass.
 
When we talk about business we mean maximization of profit. Only stupid people can keeping doing business with negative profit. Sorry to say Kenya Airways management headed by the stupid ones.
Sorry my friend I like you so much, that's why I say you're stupid.

upload_2017-12-15_15-16-48.png
 
Imagine tanzania land is twice by size of kenya land, population in tanzania is 53 million, population in kenya is 47 million

Population below poverty line

Tanzania 22%
Kenya 48%

Unemployment rate

Tanzania 12%
Kenya 40%

80% of kenya fertile land is owned by settlers and politician while only uhuru kenyata owned 15,000km sq of land

Land in tanzania owned by tanzanians and no any settler or foreigner owned land according to tanzanian law

Hebu tuanzie hapo ukishanielewa tutachimba zaidi

Afadhali umemjibu vizuri huyo nunda.
 
namsikitikia KLM mwenye share zake kq😀😀😀😀
KQ, UCHUMI, NAKUMATT, SAMEER, AIRTELL, zote zinakufa lakini kuna watu bado wanadai mambo safi wanajua biashara..ama kwa hakika kuna aina mbalimbali za magonjwa ya akili.
 
Unapoteza muda wako kumuelewesha kenge, hata maana ya GDP na inavyokokotolewa hajui
Hawa watu wagumu sana kuelewa, yaani wao uwezo wao wa kufikiri unaishia ndani ya kibuyu, nje ya hapo weupe kabisa.

Mtu unawaambia sisi tuliamua kuwekeza kwa watu kwanza na kutumia nguvu kazi yote huko na matokeo yake tunayaona sasa, kuwa nchi yetu ina umoja na hayo ni maendeleo makubwa sana. Huwezi kujenga nyumba kwenye uwanja wa vita, hawa jamaa hata ukiwaeleza hawakuelewi.

Sasa hivi tuko awamu ya pili ya maendeleo ambayo ni uchumi na katika miaka 10 tu Dar tumeibadilisha na, vivyo hivyo Mwanza na Dodoma. Huo uchumi walioanza kuujenga toka 60s badala ya kujenga jamii iliyostaarabika uko wapi? Ukiangalia kasi ya maendeleo tuliyonayo sasa ni dhahiri miaka kumi ijayo tutakuwa tuko mbali sana wakati wao bado wanaishi kwenye jamii ya chuki baina yao.
 
secretary general wa Unctad. enda uangalie. usjifanye huelewi
You didn't say that. You said UN secretary general (António Guterres) is a Kenyan.
Siyo wewe uliyesema hivyo? Au ulikosea. If you wrote by mistake, just say sorry. Huo ndio uungwana.
 
Hawa watu wagumu sana kuelewa, yaani wao uwezo wao wa kufikiri unaishia ndani ya kibuyu, nje ya hapo weupe kabisa.
Wana uwezo mdogo sana wa kufikiria, badala ya kujengewa uwezo wa kufikiria, huwa wanajengewa matumaini ya uwongo na sifa za kijinga
 
Back
Top Bottom