Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ubaya ni hawana kabisa business mentality ila wanataka kupanda royal class kwa chee!
 
Means haujui hata unachoongelea.
Kwani ni mimi ndio nilisema ati Tanzania inapika their economic data ama World Bank and IMF? Mbona unaniletea hasira zako wakati wenye walisema hivo unawajua? Should I give you their mails to express your anger and disapproval?πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nimekuuliza lini ulienda ndege ikiwa nusu? Au ni Assumptions zako kutaka ku justify mawazo yako?
Ngoja. Soon napanda hiyo Air Tanzania. Nitapiga picha nitaleta hapa. Nipe muda

Maana nyinyi mnatetea vitu sijui mnaishi Tanzania gani? Tuache ushabiki tuongee ukweli na uhalisia.

Hii tabia ya kukubali kubali kila kitu ili ulinde kibarua inaliangamiza taifa. Sometimes you have to challenge and think of the reality. Don't just think of your class and status.

Anyway naacha hii mijadala ya EMU.
 
Sawa ukipanda tupatie picha ikionesha ndege ipo nusu Kutoka Dar kwenda Dodoma.
 
na ndio shida kubwa tulionayo wengi yani tushangilie kila kitu hata kama mambo yanaenda vibaya.
 
Watu mnaoenda na magari yenu Dodoma mjiorodheshe majina yenu tuone kama mtakuwa mnaijaza hiyo treni kila siku kwenda na kurudi.

Bei ziwekwe kwa unafuu wa kila mtu, sio watu wachache. Kodi zilizotumika kujenga ni zetu sote. Sio za matajiri peke yao. Ingekuwa laki ningeelewa ila laki na nusu parefu sana mzee.
 
Kwa siku tupo zaidi ya watu 1000 + watu wengine wanaenda kwa shughuli zao waliokuwa wanasafiri na ndege.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…