edited video aliifanya nani mama ngina au?? πππ haya lia basiiYani wewe fala hata huwezijua hiyo ni edited video? Kweli ufala ni laana.
ww umeitoa wapi mr IMF ππππGDP Kati ya Kenya na Tanzania imekuwa widen to $40B.
na ajabu hua munaniogopa kama ukoma humu ndani πππππHuyo mwarabu hakuna kitu huwa anajua.
Habari mbaya kwa nyang'au TeargasπHuku World Cup women U17 wamebondwa na North Korea na wametolewa
Wapo kimya humu
View attachment 3133900
Huna taarifa IMF already washatoa data zao za 2024?πππww umeitoa wapi mr IMF ππππ
Sasa unataka kulia sababu nimekurekebisha?ππedited video aliifanya nani mama ngina au?? πππ haya lia basii
Sawa baboon.Hujasoma huo ujembe wa jamaa na kuulewa, mchizi ameeleza wazi kwamba mkenya mkweli humu alikua ni mk54, na ndio mana hata wewe unauliza swali la kimaandazi kwasababu ni dhahiri wewe si mkweli. πππ
Nani aogope mwenye hajui kwao?πππ€£πna ajabu hua munaniogopa kama ukoma humu ndani πππππ
wenye akili ndio hawa wanaokula pesa zenu kilaini na mumekaa kusifia upuuzi
View: https://x.com/nationafrica/status/1849292256831799401?s=46
πππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππNani aogope mwenye hajui kwao?πππ€£π
ameitoa nani mama ngina au πππππHuna taarifa IMF already washatoa data zao za 2024?πππ
MK254 sio mkweli na ni mkenya hatari sn hawa wote humu ndiyo Mungu wao, ni mtu aliyeichafua Tanzania kwa miaka mingi sana, kwa sasa hana cha kuongea na ndiyo maana alikimbia humu yupo kwenye majukwaa mengine kule, huyo jamaa ukiona muandiko wake unaweza kusema ni mtanzania lkn ni mkenya yule wa kizamani kabisa. Mkenya mkweli ni Tony254 na mwaswastHujasoma huo ujembe wa jamaa na kuulewa, mchizi ameeleza wazi kwamba mkenya mkweli humu alikua ni mk54, na ndio mana hata wewe unauliza swali la kimaandazi kwasababu ni dhahiri wewe si mkweli. πππ
Wakati Tanzania women walifika semi finals, hawa jamaa mpira sio fani yao.Huku World Cup women U17 wamebondwa na North Korea na wametolewa
Wapo kimya humu
View attachment 3133900
But there is nothing Tanzania is ahead of Kenya. Tanzania have just tried to do catch up with Kenya but still your country is nowhere near Kenya.
Jinsi walivyo hawajulikani, hata bendera yao haipo, watu hawaijui πππ€£π€£π€£π€£π€£Huku World Cup women U17 wamebondwa na North Korea na wametolewa
Wapo kimya humu
View attachment 3133900
Aawapii watambe! Hizo trains walinunua right off toka Milwaukee US! Hata 120 km/h hazifiki! Check ur facts! Hizii nginjanginja!