Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizi hekaya zenu mnazipenda sana
 
Hiyo miaka tulikiwa hatuwezi kubato na kunyani maake kila idara wametupiga na kukudi data maake mm binafsi nilikuwa nachungulia bila aid na kutoka nduki mnakumbuka vitasa vya MK54 na ndiyo mkenya mkweli tu hapa jf kama alijuwa kuwa Ruto ameshinda maisha Kenya yatakuwa magumu hatakuwepo jf alijua tunaenda kuwapiga ko mazima
 
But there is nothing Tanzania is ahead of Kenya. Tanzania have just tried to do catch up with Kenya but still your country is nowhere near Kenya.
 
But there is nothing Tanzania is ahead of Kenya. Tanzania have just tried to do catch up with Kenya but still your country is nowhere near Kenya.
Hujasoma huo ujembe wa jamaa na kuulewa, mchizi ameeleza wazi kwamba mkenya mkweli humu alikua ni mk54, na ndio mana hata wewe unauliza swali la kimaandazi kwasababu ni dhahiri wewe si mkweli. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mazao ya nyumba zile za ibada "tusimame na flani ni mwezetu" πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Tunachafua thread ya watu, nimekuwepo mwanzo mwisho ila kwa hapa siwez changia tukutane sehemu thread nyingine .hapa sichangii hata kwa dawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…