Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wanaropoka kinoma. Alafu hiyo ya kutupa kwenye dust bin mm mwenyewe nmeanza kuitumia now, yn ukiingia jf unakuta jitu linaropoka tu mpaka unaona uvivu kuendelea kuperuzi, ss kwa nn ujipe shida, tupa kwenye shimo la taka maisha yaendelee.
Kuna mropokaji zaidi yako kweli
 
Kwale Stadium
1729358777366.jpeg

1729358741653-jpeg.3130009

1729358820603.jpeg
 
And Africa’s leading loss making airline! Ni upumbavu wa Hali ya juu kudiriki kuiweka Kenya airways mbele ya Ethiopian Airlines!
KQ is back to making profit. Alafu kumbuka ATCL haijawaipata faida Tangu ianzishwe, so don’t talk about financial statement if you know your airline rides on losses every year.
 
Back
Top Bottom