ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Kwani mulijenga kwa siku moja??? 😀😀Yenu inakwenda kasi, yetu ilikwenda kasi na haturingi.
one of the modern electric train in africa ndugu tulia tufanye kazi😛😛
Kwani mulijenga kwa siku moja??? 😀😀Yenu inakwenda kasi, yetu ilikwenda kasi na haturingi.
Below poverty lineYou forgot to add...lots of poverty.
My first quote I stood as a humble Tanzanian.. (Patriot) And I told you how our economy suffered too..from a number of events.Point out where I have complained man. You got serious comprehension skills.
Bro hapo utatwanga maji kwenye kinu wakenya wengi kwenye history wako poorMy first quote I stood as a humble Tanzanian.. (Patriot) And I told you how our economy suffered too..from a number of events.
Your reply ..was The Great Mwl. Nyerere was a failure.. And I did agree with your thoughts... I can't change how you think..
Although I still don't understand how did we Bring The Great Mwl. Nyerere into this..
So I thought we are Talking about Tanzania at Large.. In return would it be fair if I look at you as Kenya?!
Coz that's exactly what i did.. Your fellow brothers and sisters are pointing out war on terror as a reason for Drop in FDI and Tourism.. So.I.think its fair to say you(Kenyans) are complaining...
Nadhani uelewa ni dhana pana. Na inaanza na kujielewa kwanza.
iam,ask your mother,she will tell you the truth.you can't be my father.

Bro hapo utatwanga maji kwenye kinu wakenya wengi kwenye history wako poor
Hawajui vile tanzania ilitumia economy kupeleka ukombozi kwa nchi za africa
Asikilize hii hotuba ya south africa kwenye maziko ya mandela ndio watajua tanzania ilifanya nn

Poverty in reference to what?You forgot to add...lots of poverty.
Kitu kinachowaumiza wakenya wengi nikushtushwa na maendeleo ya tanzania yaliofanywa kwa miaka 10 tu kwasababu mawazo yao mengi walikua wakifkiri bado tanzania ni ile ya 90s sasa leo wanatahamaki na kuumia sana, so ili akubaliane na wewe mpaka pale hasira na wivu itakapo pungua😀😀😀Najua hawa ndugu zetu wapo nyuma.. Ila tusiwakatie tamaa..inabidi tuwafundishe..ICHOBOY01.. Ukisikia huo ni Msalaba wako.. Sisi wetu ni hawa jamaa.. 🙂, tuwapige shule tu taratibu.. Labda wataelewaga huko mbeleni.
Kuwa kaka mkubwa ni janga.![]()
Hapo ndio pagumu.. Na ukaka inabidi uonekane.. Vijana wana wivu sana na Hasira mingi..Kitu kinachowaumiza wakenya wengi nikushtushwa na maendeleo ya tanzania yaliofanywa kwa miaka 10 tu kwasababu mawazo yao mengi walikua wakifkiri bado tanzania ni ile ya 90s sasa leo wanatahamaki na kuumia sana, so ili akubaliane na wewe mpaka pale hasira na wivu itakapo pungua😀😀😀
Kitu kinachowaumiza wakenya wengi nikushtushwa na maendeleo ya tanzania yaliofanywa kwa miaka 10 tu kwasababu mawazo yao mengi walikua wakifkiri bado tanzania ni ile ya 90s sasa leo wanatahamaki na kuumia sana, so ili akubaliane na wewe mpaka pale hasira na wivu itakapo pungua😀😀😀

Rais wa Msumbiji anajua Kiswahili kuliko Professor wa Kiswahili wa Nairobi University

Rushwa, ukabila na umasikini, Kenya is a failed state.Hivi tatizo ni nini hasa hapo Nairobi.
![]()
![]()
![]()
True, ya kwenu ni ya Kizamani,Yenu inakwenda kasi, yetu ilikwenda kasi na haturingi.
Wakenya mnajifanya wajuaji sana,unafikiri swezi neno "middle" au?Nilidhani akija mido income country ataongea kingereza.
mido ni nini???....
Acha nao hao, wameshindwa kwenye vitu vya msingi wamebaki na vitu vidogo vidogoWakenya mnajifanya wajuaji sana,unafikiri swezi neno "middle" au?