Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,252
- 35,697
Largest pharmaceutical market ndio unajisifia ww mgonjwa nadhani.Tanzania is nowhere to be seen. Kazi ni tu kupiga kelele na uwezo ni zero😂😂
Talanga stadium sio?Daily Dose.
Talanga Stadium as at Yesterday.
View: https://www.instagram.com/reel/DBNp20rMUL6/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=MzRlODBiNWFlZA==
Usijifanye unajua kwenye ramani yako hapo ruangwa Haina Rami hii hapa sio Nini.Hujui kitu wewe Tulia.Ni aibu kuwa na Mikoa takribani 15 hazijaunganishwa na Lami harafu unakenua meno kuhusu Sgr
Unajifanya hujaona hii? Ama ni vile Tanzania haiko?Largest pharmaceutical market ndio unajisifia ww mgonjwa nadhani.
The only Football Stadium in East Africa. That’s where Finals of AFCON will be played.Talanga stadium sio?
Mama Ngina dust bin upo. Naona unaweza cooked statistics maps. 🤣 🤣 🤣 🤣The only Football Stadium in East Africa. That’s where Finals of AFCON will be played.
Data zako za kipuuzi, weka link sio unatuwekea picha
Wewe bwege Mimi najua kuliko wewe,hiyo Barabara haijakamilika Bado Iko around 70%.Usijifanye unajua kwenye ramani yako hapo ruangwa Haina Rami hii hapa sio Nini.
View: https://youtu.be/tdeDW7Fert0?si=WwWh8igmHwEpLd3HUmesema kuwa Kuna mikoa 15 ambayo Haijafunguka, walau ungetaja kwamba mkoa huu hauna barabara na hakuna ujenzi unaondelea , sanasana hapa unachofanya ni kutetea maslahi tu kwamba reli inaenda kuondoa baadhi ya kazi ambazo wengi wanazitegemea .
Inshort hujui chochote kuhusu reli.
Hata link bado utapinga tu😂😂😂Data zako za kipuuzi, weka link sio unatuwekea picha
Endelea kupinga.Data zako za kipuuzi, weka link sio unatuwekea picha