concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,999
- 15,466
Sawa bossOk, unaweza kunitajia hiyo miradi japo mitano ambayo ni massive aliyoanzisha ili tujaribu kufanya comparison?
Hatumlaumu ila hata kama alianzisha miradi je alifikisha hata nusu ya miradi aliyoianzisha.Sasa ulitaka aimalizie akiwa kaburini? Kama hii mingine yote aliianzisha na mnaimalizia mnashindwaje kumalizia hiyo mingine, tuache kujificha kwenye kivuli cha marehemu, alituanzishia kwa lengo zuri ni kazi yetu kuimalizia, tofauti ya magu na marais wengine ni kwamba yeye alithubutu, hao wengine waliogopa hata kuthubutu, wakaishia kujitajirisha wenyewe. Tumpe heshima yake tuendelee kujenga taifa.
Duu hata Ile king msukuma ya kwenda bush Ina unafuu. Humu wanapanda watu auOya wakuu, kwenye hii picha kuna umaskini wa kutisha, road imechoka mnoo na haina road sign, pembeni kuna lorry na haijulikani ni brand ipi mana halina jina 👇👇🤣🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 3128543
1. Hiyo miradi ya kujenga shule ni ya kawaida hata paka angekuwa raisi angejenga, unajua Magufuli alijenga na kukarabati shule ngapi? Nina uhakika more than 50% ya shule ulizosema kajenga Samia zilianza kujengwa na Magufuli.Sawa boss
1.Ujenzi wa madarasa 12,000= bil 240 umekamilika
2.ujenzi wa shule 25 za wasichana kwa Kila mkoa bil 106.6
3. Phase 3 ,4 ,6 yote hiyo ya sgr yote Iko katika hatua za ujenzi ni itakamilika , phase 3 washamaliza kifusi karibia njia nzima phase 5 sijaweka kwa sababu aliizindua magu ila ujenzi umeanza kipindi Cha Samia.
Maboresho ya shule kongwe kwa halmashauri 183 @650,000,000
Kuna ujenzi wa emd kwa halmashauri zote @ 250,000,000
Ujenzi wa shule mpya Kila halmashauri sekondari
650,000,000
Hiyo ni upande wa tamisemi
Idara ya maji
Maji toka mto ruvuma chini ya ruwasa= 30bil
Hapa ukiingia ruwasa utakutana na orodha ya hiyo miradi ni zaid ya 20
Na yote Iko katika hatua kubwa na imeanza mwaka 2023
Hatumlaumu ila hata kama alianzisha miradi je alifikisha hata nusu ya miradi aliyoianzisha.
Kumbuka aliingia 2015 na mpaka anaondoka barabara ya tabora itigi ilikuwa imesimama hakuna Hela na miradi mingi ilikuwa imesimama.
Bosi Kuanzisha miradi kwa mihemuko ndo kilichotuponza enzi za marehem.
Mind you watu walisugua benchi miaka 5 bila nyongeza ya mshahara Wala kuajiriwa tukiambiwa tunajenga nchi. Sasa kama inajenga reli au barabara ila huwawezeshi watu kupata mlo nani angepanda .
Watu wanaona mabaya ya Samia kwa sababu kaamua kuwa mkimya kipindi Cha magu tulifungwa hatukujua kinachoendele
Reli ni muhimu kuliko udhaniavyo wewe.Reli zimekuwepo kabla, gharama zilioungua? Na baada ya kupungua unaweza nipa mchango specific wa reli kwenye kukuza Uchumi?
Mwisho reli ni muhimu pale tuu Ukiwa na matured and vibrant economy ambapo basic infrastructures zinakuwa zimeshajengwa.
Huna Barabara za kuunganisha Mikoa Yako harafu unasema reli ni muhimu?
1. Mkuu kuhusu shule hayo mambo yote yapo kwenye website za tamisemi unaweza pita ukajidhihirisha kwa kuangalia shule mpya zilizojengwa ukajidhihirishe hapa tunazungumzia nchi nzima hapo tunazungumzia shule mpya zaid ya 200 nchi nzima . Je una detail ya magufuli kujenga Walau shule hata 20. Narudia tena hakuna maboresho ya shule yaliyofanyika kipindi Cha magu1. Hiyo miradi ya kujenga shule ni ya kawaida hata paka angekuwa raisi angejenga, unajua Magufuli alijenga na kukarabati shule ngapi? Nina uhakika more than 50% ya shule ulizosema kajenga Samia zilianza kujengwa na Magufuli.
2. Barabara hata raisi angekuwa chizi kama Ruto bado angejenga, kuhusu SGR tulikubaliana uweke miradi aliyoanzisha tu, usiguse SGR, wala JNHPP mana kumalizia ilikuwa lazima imaliziwe kwasababu pesa haitoki mfukoni kwa mtu bali inatoka kwa serikali, hapo tunaongelea akili ya kuanzisha miradi.
3. Kuhusu raia kupata shida, mkuu ulitaka kujenga vitu vizuri huku ukipata raha? Unajua developed countries zimefikaje hapo zilipo? Kama mnataka cheap cheap investment kama zinazofanyika sasa (BRT vibarabara vyembamba plus mradi kuyumba) sawa mtajengewa huku mnapata raha, lkn huko mbeleni gharama yake ni kubwa, itabidi tubomoe tuanze kujenga tena, lkn kama mnataka miradi yenye vision ya muda mrefu huwezi kupata raha huku unafanya maendeleo ya kweli, waulize wakenya na make up investment zao, leo hii hata chakula mezani kinawashinda lkn watakuonesha vighorofa viwili vitatu vya uongo na kweli, tuache propaganda tufanye maendeleo ya kweli.
Nyang'au kipchirchir arap Teargas atasema hiyo ni 'state of the art stadium'😎😎Wakuu oneni stadium tuliyoletewa humu juzi na hawa vichaa, oneni hiyo pitch, alafu hawa ndiyo wanataka kuandaa Afcon na Tanzania hawa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 3128554
Oyaa msidhani masihara, oneni viti hivyo, yani vile viti vya bar ndiyo wameviweka kwenye stadium, alafu kuna mbwa mmoja akapost humu kwamba hii ni stadium, Kenya ni mavi 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇 👇
View attachment 3128555
Wallahi nawaambia hawa ******* hawaandai Afcon, just imagine hawana hata viwanja vya kufanyia mazoezi timu shiriki so far, wakenya hawana akili hakiyamama, wanadhani kuandaa michuano ni kuwa na kauwanja kamoja 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Reli ni muhimu sana tena kwa mizigo ndo zaid.Reli ni muhimu kuliko udhaniavyo wewe.
Sio tu usafirishaji mizigo bali hata usafirishaji watu.
Aliyekosea ni baba Mkapa kuibinafsisha.
Ila reli ni kitu muhimu sana.
Umeeleweka bosiJamani msituharibie uzi na issue za TAMISEMI. Hii ni Dar vs Nairobi.
Hiki nini tena.?
Wewe watchman mbona unahangaika? It will Take Tanzania 100 yrs to have such stadiums in almost all regions within Tanzania. Imagine that’s just Kwale County where Sports is not even a common event yet they have such kind of Stadium. Hiyo Stadium ikiletwa Tz it will appear among the top 5 best stadiums.Wakuu oneni stadium tuliyoletewa humu juzi na hawa vichaa, oneni hiyo pitch, alafu hawa ndiyo wanataka kuandaa Afcon na Tanzania hawa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 3128554
Oyaa msidhani masihara, oneni viti hivyo, yani vile viti vya bar ndiyo wameviweka kwenye stadium, alafu kuna mbwa mmoja akapost humu kwamba hii ni stadium, Kenya ni mavi 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇 👇
View attachment 3128555
Wallahi nawaambia hawa ******* hawaandai Afcon, just imagine hawana hata viwanja vya kufanyia mazoezi timu shiriki so far, wakenya hawana akili hakiyamama, wanadhani kuandaa michuano ni kuwa na kauwanja kamoja 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Unaruka ruka tu mpumbavu wewe😂😂😂
Will matusi stop you from looking like a baboon?Unaruka ruka tu mpumbavu wewe😂😂😂
I only see a handsome boy that you are forcing to tell people that he looks like monkey 😂😂😂😂.
1. Nimekuambia hii nchi tangu ipate uhuru hakuna siku shule zimeachwa kujengwa, kwanza for your information Magufuli wakati anaingia alikuta shule za sekondari za serikali zipo hoi bin taabani, akaanza kuzi renovate, sio shule tu tuliona pia Mapinduzi makubwa kwenye sekta ya afya, ni yeye ndiye alitufuta tongotongo kwa kuboresha muhimbili na kujenga hospitali nyingi mpya ambazo ndizo zinamaliziwa kipindi hiki, n.k (siwezi kutaja vyote mana ni vingi hata wewe unajua)1. Mkuu kuhusu shule hayo mambo yote yapo kwenye website za tamisemi unaweza pita ukajidhihirisha kwa kuangalia shule mpya zilizojengwa ukajidhihirishe hapa tunazungumzia nchi nzima hapo tunazungumzia shule mpya zaid ya 200 nchi nzima . Je una detail ya magufuli kujenga Walau shule hata 20. Narudia tena hakuna maboresho ya shule yaliyofanyika kipindi Cha magu
2. Nadhani kama ukifuatlia barababra mbovu kuwahi kutokea zimejengwa chini ya kipindi Cha magu akiwa rais na akiwa waziri reference kibiti- somanga.
3. Huwez kusema kuwa ili ufanye maendeleo ni lazima upate taabu, hivi unapataje maendeleo kama unakaa bila kuongeza waalimu ili kuweza kuzalisha wataalamu au madaktari wa kuweza kuwatibu hao wataalamu wako.
Hakuna nchi iliyoendelea bila kuwa human capital , namaanisha huwez kuendeleza kwa kujenga mitambo huku ukitafuta wataalamu wakuiendesha.
Mama anajitahidi sana!Sawa boss
1.Ujenzi wa madarasa 12,000= bil 240 umekamilika
2.ujenzi wa shule 25 za wasichana kwa Kila mkoa bil 106.6
3. Phase 3 ,4 ,6 yote hiyo ya sgr yote Iko katika hatua za ujenzi ni itakamilika , phase 3 washamaliza kifusi karibia njia nzima phase 5 sijaweka kwa sababu aliizindua magu ila ujenzi umeanza kipindi Cha Samia.
Maboresho ya shule kongwe kwa halmashauri 183 @650,000,000
Kuna ujenzi wa emd kwa halmashauri zote @ 250,000,000
Ujenzi wa shule mpya Kila halmashauri sekondari
650,000,000
Hiyo ni upande wa tamisemi
Idara ya maji
Maji toka mto ruvuma chini ya ruwasa= 30bil
Hapa ukiingia ruwasa utakutana na orodha ya hiyo miradi ni zaid ya 20
Na yote Iko katika hatua kubwa na imeanza mwaka 2023
Hatumlaumu ila hata kama alianzisha miradi je alifikisha hata nusu ya miradi aliyoianzisha.
Kumbuka aliingia 2015 na mpaka anaondoka barabara ya tabora itigi ilikuwa imesimama hakuna Hela na miradi mingi ilikuwa imesimama.
Bosi Kuanzisha miradi kwa mihemuko ndo kilichotuponza enzi za marehem.
Mind you watu walisugua benchi miaka 5 bila nyongeza ya mshahara Wala kuajiriwa tukiambiwa tunajenga nchi. Sasa kama inajenga reli au barabara ila huwawezeshi watu kupata mlo nani angepanda .
Watu wanaona mabaya ya Samia kwa sababu kaamua kuwa mkimya kipindi Cha magu tulifungwa hatukujua kinachoendele
Platform ya kifalamanga sana!