Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe ni mwenye mawazo ya kipumbavu siku zote! A mining country like Tanzania n her neighbors need a railway!
Burundi anamzigo wa nickel na cobalt na kabanga Kuna nickel. Makadirio ni 2mil ton per year , hayo ni zaid ya malori 178 kwa Kila siku hapo hujaweka mizigo mingine , kama songea tu makaa ya mawe watu wanachemka na ni karibu , itakuwaje kigoma na kumbuka Kuna mizigo mingi inapitia Zambia kuingia kongo, wakati upande wa pili trc wameingia makubaliano na kongo kurekebisha reli ili ilifike Lubumbashi ,
Kabla ya yote ebu tuangalie miradi pending ambayo imeachwa bila kukamilika , magu alianzisha miradi mingi na ambayo mingi hakuweza ikamilisha
Sasa kipi Bora kuanzisha miradi mipya au tumalizie viporo
 
Tupate wadhamini kutoka Nairobi City Centre ( the so most developed city in Africa)
This is kenyatta Avenue october 2024
View attachment 3128481
Mwamba huwa unawapiga na vitu vizito mpaka wameanza kukuchukia, imagine hapo ni CBD, alafu kwa pembeni naliona lorry la Isuzu linalobeba abiria ambalo lina thamani kuliko Youtong ya mchina, wakenya wababaishaji sn aisee🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Oya wakuu, kwenye hii picha kuna umaskini wa kutisha, road imechoka mnoo na haina road sign, pembeni kuna lorry na haijulikani ni brand ipi mana halina jina πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Sasa ulitaka aimalizie akiwa kaburini? Kama hii mingine yote aliianzisha na mnaimalizia mnashindwaje kumalizia hiyo mingine, tuache kujificha kwenye kivuli cha marehemu, alituanzishia kwa lengo zuri ni kazi yetu kuimalizia, tofauti ya magu na marais wengine ni kwamba yeye alithubutu, hao wengine waliogopa hata kuthubutu, wakaishia kujitajirisha wenyewe. Tumpe heshima yake tuendelee kujenga taifa.
 
Sasa tunawacheka Adani hapo Kenya kwani Tz Adani si kapewa some container terminals? DPW kapewa nae few berths. Na sasa tunatumia hela zetu tena kutengeneza bandari au DPW ndio katoa hela.
DP world na adani kwa tanzania ni waendeshaji sio wajenzi tofaut na kenya, mfano JKiA adani anatumia pesa zake kujenga terminals au kufanya ukarabati upya kabisa

hio ndio tofaut
 
Wakuu oneni stadium tuliyoletewa humu juzi na hawa vichaa, oneni hiyo pitch, alafu hawa ndiyo wanataka kuandaa Afcon na Tanzania hawa 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣


Oyaa msidhani masihara, oneni viti hivyo, yani vile viti vya bar ndiyo wameviweka kwenye stadium, alafu kuna mbwa mmoja akapost humu kwamba hii ni stadium, Kenya ni mavi 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡


Wallahi nawaambia hawa ******* hawaandai Afcon, just imagine hawana hata viwanja vya kufanyia mazoezi timu shiriki so far, wakenya hawana akili hakiyamama, wanadhani kuandaa michuano ni kuwa na kauwanja kamoja 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Watu wa kelele na midomo mingi huku zero vitendo!
 
Ok, unaweza kunitajia hiyo miradi japo mitano ambayo ni massive aliyoanzisha ili tujaribu kufanya comparison?
Sawa boss
1.Ujenzi wa madarasa 12,000= bil 240 umekamilika
2.ujenzi wa shule 25 za wasichana kwa Kila mkoa bil 106.6
3. Phase 3 ,4 ,6 yote hiyo ya sgr yote Iko katika hatua za ujenzi ni itakamilika , phase 3 washamaliza kifusi karibia njia nzima phase 5 sijaweka kwa sababu aliizindua magu ila ujenzi umeanza kipindi Cha Samia.
Maboresho ya shule kongwe kwa halmashauri 183 @650,000,000
Kuna ujenzi wa emd kwa halmashauri zote @ 250,000,000
Ujenzi wa shule mpya Kila halmashauri sekondari
650,000,000
Hiyo ni upande wa tamisemi
Idara ya maji
Maji toka mto ruvuma chini ya ruwasa= 30bil
Hapa ukiingia ruwasa utakutana na orodha ya hiyo miradi ni zaid ya 20
Na yote Iko katika hatua kubwa na imeanza mwaka 2023


Hatumlaumu ila hata kama alianzisha miradi je alifikisha hata nusu ya miradi aliyoianzisha.
Kumbuka aliingia 2015 na mpaka anaondoka barabara ya tabora itigi ilikuwa imesimama hakuna Hela na miradi mingi ilikuwa imesimama.
Bosi Kuanzisha miradi kwa mihemuko ndo kilichotuponza enzi za marehem.
Mind you watu walisugua benchi miaka 5 bila nyongeza ya mshahara Wala kuajiriwa tukiambiwa tunajenga nchi. Sasa kama inajenga reli au barabara ila huwawezeshi watu kupata mlo nani angepanda .
Watu wanaona mabaya ya Samia kwa sababu kaamua kuwa mkimya kipindi Cha magu tulifungwa hatukujua kinachoendele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…