Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Vipi kwani na nyie mchina kakubali kufikisha malaba?
 
Remember Kenya haijawaishindwa kulipa deni kama Tanzania. When talking about debts remember it's only Tanzania and Somalia ndio washaisamehewa deni hapa East Africa cause they couldn't pay.
Cha ajabu Kenya ndo haikopesheki
 
Yaan tunaweka tu dar-mwanza 40ft inakuwa USD 500, kwisha habar
TPA inabidi iongee na Uganda iwe ina run port bell terminal sisi tuwapelekee mizigo yao mpaka mlangoni mwao inakuwa no integrated service hakuna mganda kuja bandarini Dar kila kitu wayalipia hapo hapo port bell kwa local currency.
Ingekuwa hawa optimus wangeongea kama human controller wao aka mabwana zao vile wanataka 🀣🀣🀣
 
Yaan kawachana mpaka nikaona aibu. Wenzetu tu hapo kwa wamisri watezunguka
 
Wanaplan miradi mingi ila karibia nusu ya project zote hazikamiliki.
Hakuna miradi mipya zaidi ya majengo , kwa Sasa hata barabara mpya zinazoanza kujengwa unaweza Kuta hazifiki hata km 300 . Nasisitiza zinazojengwa

Kama wazungu wanavyosema, Cope harder. πŸ˜‚
Your fishing village is seeing dust. πŸ˜‚πŸ˜‚

Nairobi is legit playing Joburg, Cape Town league. Upende usipende.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…