Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Makubwa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ juzi tu tume sign dili ya ku renovate reli yetu ya Tazara ili iwe SGr ya umeme, we are developing our railways to connect mataifa matano yanayotuzunguka, tuogope kukosa Uganda.? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Kimsingi tunao Kongo drc, Zambia, Malawi, Rwanda na Burundi. Huku kote kuna Mzigo wa maana.
Wewe baboon do you really know what SGR is?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
 
Mnarenovate MGR ikue SGR ya umeme? Nikekuambia mara ngapi usijihusishe na vitu ulivyo na zero knowledge navyo? Kila siku unajiaibisha humu.
Majority of Tanzanians hawajui SGR ni nini, itโ€™s not only that fukara. Na nikiwaambia wana IQ kidogo wanakasirika๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
 
Hamna kitu kelele chote no Stand, unadhani sisi hatuna office za Bus sio?
Mabasi zenu zinasimama katikati ya pori hili wasafiri wajisaidie, ama unadhani hatujui?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
 
Unateseka ukiwa wapi? Dogo yuko busy anaangalia cartoon kwe.nye simu
20241014_195415.jpg
 
LAWD=to express surprise, shock, frustration, or annoyance about something

Kwahiyo unakubali uko katika mshangao na stress kujua kwamba Tazara ni Sgr na Iko na zaidi ya km 1000 kupita the whole project ya Kenya kwenda mpaka Uganda?
Husaidiki.๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Back
Top Bottom