Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ila Nairobi kuna slums aisee
Yaani ukiachana na kibera, mathare, mukuru, kangemi, kawangware, pipeline etc

Kuna hii inaitwa viwandani na nyingine nyuma ya Airport inaitwa kiambiu

Yaan ni slums left, right, centre
View attachment 3120430View attachment 3120431
Huoni hata slums za Kenya zinajengwa in a straight line, bongoslum mukijenga in a straight line mutakufa ama?
 
Mbona picha over 90% za Kenya huwa zinaosha vumbi na roads zilizochoka na zenye viraka? Alafu kumepaukaa mnoo.
bongoslum is worse

Image
 
Ila Nairobi kuna slums aisee
Yaani ukiachana na kibera, mathare, mukuru, kangemi, kawangware, pipeline etc

Kuna hii inaitwa viwandani na nyingine nyuma ya Airport inaitwa kiambiu

Yaan ni slums left, right, centre
View attachment 3120430View attachment 3120431
Wenyewe mji wao wanaujua, hata waki post picha wanahakikisha wana crop kwanza kuficha mauozo kabla ya kupost.
 
Back
Top Bottom